DITOPILE WAPILI
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 376
- 256
Kamanda Lissu, Mwanasheria msomi, kwa jinsi anavyotumia muda, akili, nguvu na juhudi nyingi katika kukosoa Kila jambo linalofanywa na Serikali ya JPM, nina imani JITIHADA kama hizi angezitumia katika kukosoa na kujenga CHADEMA na UKAWA.
CHADEMA na UKAWA vingekuwa imara sana, nashindwa kujua kwanini anashindwa kumshauri vizuri MBOWE katika kujenga misingi imara CHADEMA.
Matokeo yake CHADEMA kimekuwa chama cha kudandia HOJA sio KUJENGA HOJA zenye mashiko. Kila siku Chama kinapoteza mvuto na nuru kwa wananchi.
Hali hii ikiendelea kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na kilima kikubwa sana mwaka 2020.