Lissu angefanya haya, upinzani ungekuwa mbali sana

We jamaa bhana,yani unataka Lisu aikosoe Chadema? Kwani Chadema ndio wanaoongoza nchi? Akili zingine jamani
 
AHAHAHAHAHAAaaaaaa!!!!! Akikumbushia hiyo kitu atafukuzwa CHADEMA mchana kweupee.
Hahahahahahaha anautaka umwenyekiti sema kuna kisiki cha mzee Mtei. Mzee El alikuwa ameshanasa sema mzee Ndesa r.i.p ametutoka mapema. Kwenye uchaguzi wa chama ungeona mtikisiko kati ya Chadema El..na Chadema asilia chini ya wakongwe Mzee Mtei na Ndesa...hiki ki Saccos ndio kinaishiria hivyo..Bado kitambo kidogo tu
 
kwani El ana HISA ngapi Chadema?
 
Kamanda Lissu, Mwanasheria msomi, kwa jinsi anavyotumia muda, akili, nguvu na juhudi nyingi katika kukosoa Kila jambo linalofanywa na Serikali ya JPM, nina imani JITIHADA kama hizi angezitumia katika kukosoa na kujenga CHADEMA na UKAWA.

CHADEMA na UKAWA vingekuwa imara sana,
nashindwa kujua kwanini anashindwa kumshauri vizuri MBOWE katika kujenga misingi imara CHADEMA.

Matokeo yake CHADEMA kimekuwa chama cha kudandia HOJA sio KUJENGA HOJA zenye mashiko. Kila siku Chama kinapoteza mvuto na nuru kwa wananchi.

Hali hii ikiendelea kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na kilima kikubwa sana mwaka 2020.
Wewe ni chama gani?
 
Ila Lisu nae wakayi mwingine awe anatumia akili, mimi nadhani atakuwa anatumia viroba siku hizi si bure.
Duh,Hatar lisu ninomma
Kwani unoma wa lisu hapa uko wapi, hakuna jipya alilofanya isipokuwa kubeba maonibya tume mbalimbali na kuanza kisoma bungeni, ili akamilishe ujinga wake wa kutetea wageni. Haya sasa wamekuja wenyewe kuomba radhi Mwambie Lisu awashauri waende mahakamani. Inawezekana lisu siyo mtanzania ni mjaluo huyu hata rafidhi yake siyo ya kinyatulu kabisa.
Naamini Magu huwa anasoma na kutafakari challenge za Lissu na zinamsaidia...yule aliyepita aliponda nasasa tunayaona!!
Kunawatu wanachuki na lisu utadhani wamekosolewa Wao nahuku hawana lolote wajualo
 
KWELI KABISA ANALETA CHANGAMOTO, Ni mmoja wa watu na nguzo imara katika UPINZANI HAPA nchini, BILA LISSU upinzani utakuwa dhaifu sana. Lakini changamoto pia angeweka kwenye kukijenga CHAMA CHA CHADEMA na UKAWA.....au ndiyo anaogopa kuitwa MSALITIIIIIIIIIIIII!!!!!!

Lipumba mlimsaidia na sasa amekivuruga chama,sasa mnataka the same kwa CDM!Endeleeni na ramli
 
Kakojoe ulale hata kama ni mchana.

Kamshauri hamnazo wenu kule magogoni achana na CHADEMA
Nani hamnazo sasa, kesho ukikamatwa utasema umeonewa. Nchi za wenzetu wanatumia mitandao kwa mambo ya maana ila kwetu watu kama wewe ni kutukana tu.
 
Kamanda Lissu, Mwanasheria msomi, kwa jinsi anavyotumia muda, akili, nguvu na juhudi nyingi katika kukosoa Kila jambo linalofanywa na Serikali ya JPM, nina imani JITIHADA kama hizi angezitumia katika kukosoa na kujenga CHADEMA na UKAWA.

CHADEMA na UKAWA vingekuwa imara sana,
nashindwa kujua kwanini anashindwa kumshauri vizuri MBOWE katika kujenga misingi imara CHADEMA.

Matokeo yake CHADEMA kimekuwa chama cha kudandia HOJA sio KUJENGA HOJA zenye mashiko. Kila siku Chama kinapoteza mvuto na nuru kwa wananchi.

Hali hii ikiendelea kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na kilima kikubwa sana mwaka 2020.
Ungeshauri bunge liisimamie serikali vema maana bunge kwa kiasi kikubwa limechangia kutufikisha hapa!
 
Kweli kabisa hata mimi nafikiri hivyo, JPM anapitia challenge za Lisu, hata anapofanya jambo lazima afikiri wakosoaji kama LISSU. TATIZO LINA KUJA KWANINI VIONGOZI WA CHADEMA HAWAMTUMII LISSU KATIKA KUJENGA CHAMA? au LISSU NI FUNDI WA KUKOSOA SIO KUJENGA?

CDM mpaka ilipofika hapa leo na kuwa tishio kwa utawala ni kwasababu ya watu kama Lissu!So yeah,anakijenga chama vyema!
Sema tu kama lengo lako ni Lissu atengeneze migogoro na chama kama Lipumba kwa kisingizio cha kujenga chama wakati ndio amekiua chama!
CDM iko makini katika hilo!!!!
 
Ungeshauri bunge liisimamie serikali vema maana bunge kwa kiasi kikubwa limechangia kutufikisha hapa!
Kweli kabisa kuna baadhi ya WABUNGE bado hawajajua kusimamia SERIKALI, ingawa baadhi wameanza kubadilika. ILI SERIKALI IFANYE KAZI BUNGE LAZIMA LIWE IMARA.

Bunge imara linatokana na chama imara. Chama imara kinatoa WABUNGE IMARA.
 
CDM mpaka ilipofika hapa leo na kuwa tishio kwa utawala ni kwasababu ya watu kama Lissu!So yeah,anakijenga chama vyema!
Sema tu kama lengo lako ni Lissu atengeneze migogoro na chama kama Lipumba kwa kisingizio cha kujenga chama wakati ndio amekiua chama!
CDM iko makini katika hilo!!!!
Kwani LISSU anapo CHALLENGE Serikali nia yake kutengeneza migogoro? Lissu ni mmoja wa WABUNGE wanaojua kutoa CHANGAMOTO kwa watawala special SERIKALI. nina imani ili jambo liwe zuri lazima LIPATE CHANGAMOTO KIDOGO.

Lakini LISSU ameshindwa kuweka Changamoto ndani ya CHAMA CHAKE. Changamoto za Lissu zingesaidia kujenga CHADEMA IMARA.
 
Tafadhali masuala ya mama tusiingize katika ujinga wako, hujui mama yangu yupo wapi? STOP.
Usitukane basi maana ukweli hunijui na hutanijua. Mimi ni zaidi ya umri na akili za baba na mama yako.

Jifunze kubakia kwenye hoja usihoroje kuingiza mambo binafsi utaumia
 
Kamanda Lissu, Mwanasheria msomi, kwa jinsi anavyotumia muda, akili, nguvu na juhudi nyingi katika kukosoa Kila jambo linalofanywa na Serikali ya JPM, nina imani JITIHADA kama hizi angezitumia katika kukosoa na kujenga CHADEMA na UKAWA.

CHADEMA na UKAWA vingekuwa imara sana,
nashindwa kujua kwanini anashindwa kumshauri vizuri MBOWE katika kujenga misingi imara CHADEMA.

Matokeo yake CHADEMA kimekuwa chama cha kudandia HOJA sio KUJENGA HOJA zenye mashiko. Kila siku Chama kinapoteza mvuto na nuru kwa wananchi.

Hali hii ikiendelea kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na kilima kikubwa sana mwaka 2020.
We mpumbav kwel wanaodandia hoja huwajui???
 
Kwani LISSU anapo CHALLENGE Serikali nia yake kutengeneza migogoro? Lissu ni mmoja wa WABUNGE wanaojua kutoa CHANGAMOTO kwa watawala special SERIKALI. nina imani ili jambo liwe zuri lazima LIPATE CHANGAMOTO KIDOGO.

Lakini LISSU ameshindwa kuweka Changamoto ndani ya CHAMA CHAKE. Changamoto za Lissu zingesaidia kujenga CHADEMA IMARA.
Unajuaje kama Lissu haleti changamoto kwenye chama?Unahudhuria vikao vya ndani vya chama?Unajua mipango wanayojadili kamati kuu?Au kwako kuleta changamoto kwenye chama ni kutoka na kukisema chama kwenye vyombo vya habari?Kama sijaelewa hoja yako hasa ni nini!
 
Usitukane basi maana ukweli hunijui na hutanijua. Mimi ni zaidi ya umri na akili za baba na mama yako.

Jifunze kubakia kwenye hoja usihoroje kuingiza mambo binafsi utaumia

Huna cha kuniumiza, ukitaka kuzungumza kuhusu wazazi nina matusi mengi tena yote mapya ambayo hujawi kuyasikia, lakini siyo busara kuwataja WAZAZI KATIKA hoja ambazo haziwahusu.

Umri si kitu ni namba tu, unaweza kuhesabu mpaka 200 halafu hakuna cha maana ulichokifanya hapa dunia.

Akili zako kwa faida yako na jamaa zako.
 
Back
Top Bottom