Lissu angefanya haya, upinzani ungekuwa mbali sana

DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
370
250
Kamanda Lissu, Mwanasheria msomi, kwa jinsi anavyotumia muda, akili, nguvu na juhudi nyingi katika kukosoa Kila jambo linalofanywa na Serikali ya JPM, nina imani JITIHADA kama hizi angezitumia katika kukosoa na kujenga CHADEMA na UKAWA.

CHADEMA na UKAWA vingekuwa imara sana,
nashindwa kujua kwanini anashindwa kumshauri vizuri MBOWE katika kujenga misingi imara CHADEMA.

Matokeo yake CHADEMA kimekuwa chama cha kudandia HOJA sio KUJENGA HOJA zenye mashiko. Kila siku Chama kinapoteza mvuto na nuru kwa wananchi.

Hali hii ikiendelea kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na kilima kikubwa sana mwaka 2020.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000

Iongelee ccm na makinikia, ndio inakutieni umasikini.
 
DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
370
250
Tundu Lissu aungwe mkono, ni mpinzani nwenye kuleta changamoto nzuri.
KWELI KABISA ANALETA CHANGAMOTO, Ni mmoja wa watu na nguzo imara katika UPINZANI HAPA nchini, BILA LISSU upinzani utakuwa dhaifu sana. Lakini changamoto pia angeweka kwenye kukijenga CHAMA CHA CHADEMA na UKAWA.....au ndiyo anaogopa kuitwa MSALITIIIIIIIIIIIII!!!!!!
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,651

Sawa kabisa
 
kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
4,136
2,000
Naamini Magu huwa anasoma na kutafakari challenge za Lissu na zinamsaidia...yule aliyepita aliponda nasasa tunayaona!!
Kunawatu wanachuki na lisu utadhani wamekosolewa Wao nahuku hawana lolote wajualo
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,268
2,000
Kakojoe ulale hata kama ni mchana.

Kamshauri hamnazo wenu kule magogoni achana na CHADEMA
 
DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
370
250
Naamini Magu huwa anasoma na kutafakari challenge za Lissu na zinamsaidia...yule aliyepita aliponda nasasa tunayaona!!
Kunawatu wanachuki na lisu utadhani wamekosolewa Wao nahuku hawana lolote wajualo
Kweli kabisa hata mimi nafikiri hivyo, JPM anapitia challenge za Lisu, hata anapofanya jambo lazima afikiri wakosoaji kama LISSU. TATIZO LINA KUJA KWANINI VIONGOZI WA CHADEMA HAWAMTUMII LISSU KATIKA KUJENGA CHAMA? au LISSU NI FUNDI WA KUKOSOA SIO KUJENGA?
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
16,576
2,000
Kamanda Lissu, Mwanasheria msomi, kwa jinsi anavyotumia muda, akili, nguvu na juhudi nyingi katika kukosoa Kila jambo linalofanywa na Serikali ya JPM, nina imani JITIHADA kama hizi angezitumia katika kukosoa na kujenga CHADEMA na UKAWA.

CHADEMA na UKAWA vingekuwa imara sana,
nashindwa kujua kwanini anashindwa kumshauri vizuri MBOWE katika kujenga misingi imara CHADEMA.

Matokeo yake CHADEMA kimekuwa chama cha kudandia HOJA sio KUJENGA HOJA zenye mashiko. Kila siku Chama kinapoteza mvuto na nuru kwa wananchi.

Hali hii ikiendelea kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na kilima kikubwa sana mwaka 2020.

haya kachukue kopo ukachambe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom