Uchaguzi 2020 Lissu amewaahidi nini wazungu endapo akiwa Rais, mbona wanamtetea sana?

Japhet Karibu

Member
Feb 27, 2020
79
129
Nimefikiri na kujiuliza sana kwanini baadhi ya marafiki wa kizungu wanaonekana waziwazi kumtetea sana Lissu. Je, huyu Lissu amewaahidi kitu gani atakachowapa kutoka nchini kwetu ikiwa atachaguliwa na Watanzania katika uchaguzi wa mwaka huu kuwa Rais wa Tanzania, japo kiuhalisia Lissu kamwe hawezi na wala asiote kuwa atakuja kuwa Rais wa Tanzania.
 
Labda hata hiyo kazi wanamfanyia ni pro bono- wazungu wakati mwingine (pigia mstari neno wakati mwingine) ni wapenda haki sana na watu wasio taka uonevu kwa binadamu wengine, achilia mbali na kuahidiwa... wao wanachotaka ni kuona haki inatendeka kwa watu wote, na human right defenders duniani humu mara nyingi hufanya kazi bila malipo au ahadi... ushindi ni kuona tu watu wote wanapata hali sawa kama zilivyo katika katiba tuliyojiwekea.

Labda hata Nyerere alipokuwa anastakiwa na serikali ya kikoloni, watetezi wake walikuwa pia wazungu... na sijui aliwaahidi nini?
 
Nimefikiri na kujiuliza sana kwa nini baadhi ya marafiki wa kizungu wanaonekana waziwazi kumtetea sana Lisu , je huyu Lisu amewaahidi kitu gani atakachowapa kutoka nchini kwetu ikiwa atachaguliwa na Watanzania katika uchaguzi wa mwaka huu kuwa Rais wa Tanzania, japo kiuwalisia Lisu kamwe hawezi na wala asiote kuwa atakuja kuwa Rais wa Tanzania.

Umeandika nini. Nani huamua mtu kuwa rais? Otherwise you have something bigger to tell
 
Tuanze na wewe mwenyewe kwanza... je kuna mtu amekuahidi kitu chochote utakapofanikisha mpango wako wa kuhakikisha Lissu hawi rais?
 
Hivi tl amekosa nini ? Mtu unakosa hata huruma kwa yaliyompata! unaanza tu kubwabwaja mabeberu sijui nini ,, hizo ni roho za kikatili tena ukatili wa kishetani kabisa.

Mi sipendi waonevu hata kidogo.

Tl ni mtanzania na ana haki kama alivyo mtanzania yeyote. Ni dhahiri mtoa post haujaridhika kabisa lissu kusurvive lile shambulio. Roho zenu za kikatili hakika zitakuja kuwatokea puani.
 
Kumbe umeshaingia uwanjani na matokeo yako eeehh?? Sasa uchaguzi wa nn kama tayari unajua matokeo yake? Siasa zako uchwara ww!
 
Mnazidi kupata public support? Your public support is diminishing, ni manyumbu na malofa tu ndio hamuwezi gundua hilo
If is diminishing Kwa nini mnatumia polisi kuzuia mapokezi ya Lissu??? Mnaogopa nini Lissu kupokelewa na watanzania wenzake???

Kwa nini mnatumia nguvu kubwa kwa watu ambao sio threat kwenu na hawana public support kubwa???

kijana unabishana na akili kubwa. Ficha upumbavu wako humu. Utazidi kudharaulika
 
Amewaahidi utawala bora na ataheshimu haki za binadamu!

Pia wamempima wakajiridhisha pasina shaka jamaa ana akili sana (generous), anaweza kuwa kiongozi bora kwa bara la Afrika.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app

Naomba nirudie sentensi yako kwa sauti kwa wasiosikia.

"Amewaahidi utawala bora na ataheshimu haki za binadamu!

Pia wamempima wakajiridhisha pasina shaka jamaa ana akili sana (generous), anaweza kuwa kiongozi bora kwa bara la Afrika."

Imeisha hiyo.
 
Naomba nirudie sentensi yako kwa sauti kwa wasiosikia.

Amewaahidi utawala bora na ataheshimu haki za binadamu!

Pia wamempima wakajiridhisha pasina shaka jamaa ana akili sana (generous), anaweza kuwa kiongozi bora kwa bara la Afrika.

Imeisha hiyo.
Hawa jamaa wanafanya uonevu na upumbavu wa wazi kabisa alafu hawataki mtu ajitetee au atetewe. CCM ni mashetani sijawai kuona
 
Kudharaulika na nyumbu? Afu mnanichekeshaga mnavyojiitaga akili kubwa, sio mbaya kujipea moyo lkn.
The country is mourning, na maandamano bila kibali hayaruhusiwi, hata kibali hamjaomba.
Afu huyo lisu anapaswa kufikishwa rumande akitua tu.
Endelea kuonesha ujinga wako! Eti the country is mourning??? Mbona hamjasimamisha michezo??? Mbona hamjazuia matamasha wala kufunga bar???

Alafu akili yako ilivyo fupi mapokezi yanahusiana nini na msiba????
Nakusikitikia sana ndugu. Ila jitoe tu ufahamu. Akili za Ki CCM ni za kuzionea huruma
 
“Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.”

— Mithali 14:34
 
Nimefikiri na kujiuliza sana kwa nini baadhi ya marafiki wa kizungu wanaonekana waziwazi kumtetea sana Lisu , je huyu Lisu amewaahidi kitu gani atakachowapa kutoka nchini kwetu ikiwa atachaguliwa na Watanzania katika uchaguzi wa mwaka huu kuwa Rais wa Tanzania, japo kiuwalisia Lisu kamwe hawezi na wala asiote kuwa atakuja kuwa Rais wa Tanzania.
Hizo risasi 16 ndiyo ahadi yenyewe
 
Huna aibu wala soni hata kdg, huenda ni upungufu wa akili! Alichofanyiwa kupigwa risasi 16 mwilini uliona sawa? Angekuwa ndugu yako ungeandika huu uharo? Uwe unatumia japo akili ndogo uliyo nayo kufikiri.
 
Wazungu wapi hao unaozungumzia?
Wale wale mnao wapigia magoti ili wawajazie bakuli lenu?

Back
Top Bottom