Lissu amechemka swali hili, wasioelewa ung'eng'e wanashangilia tu

Asemavyo

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
303
1,000
Mwanahabari anauliza:Hon Lissu we saw several opposition members changing their sides to Ruling part as the sign of Magufuli's job appreciation, how do you comment on that?

Lissu:Most of opposition leader have been bribed to change parties and then assured to be 're elected by any means,

Mwanahabari:You say that most of members switching to Magufuli's side is due to promises of getting some posts in the government, why Florence Masha changed from Chadema to Ruling part up to now no any position granted to him???

Lissu: You know Kibiti people died a lotHahahahahaha

Alafu wa Ufipa wanashangilia kichizi duh
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,598
2,000
wewe unamounaje masha?? mara leo ni waziri wa mambo ya ndani, kesho kahamia chadema, kesho kutwa kakamatwa huko tukuyu akiharibu shamba la bibi wa kizungu (beberu), hatuja kaa sawa anamiliki fast jet. wewe kwa mtizamo wako unaona hizo ni 'activities' za kawaida?? ulitaka Lisu asemaje, aseme Masha ni 'naniliu' ndio maana amerudi nyumbani!
 
omari londo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
1,809

hii kitu ungeipeleka Facebook ndio kuna uvccm wengi mahousegirl na mashamba boy wenzio huku umekosea njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
selase

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
223
250
Mwanahabari anauliza:Hon Lissu we saw several opposition members changing their sides to Ruling part as the sign of Magufuli's job appreciation, how do you comment on that?

Lissu:Most of opposition leader have been bribed to change parties and then assured to be 're elected by any means,

Mwanahabari:You say that most of members switching to Magufuli's side is due to promises of getting some posts in the government, why Florence Masha changed from Chadema to Ruling part up to now no any position granted to him???

Lissu: You know Kibiti people died a lot

Hahahahahaha

Alafu wa Ufipa wanashangilia kichizi duh
ongea bas na pale jiwe alipoambiwa kuwa anajiona ni kiongozi smart kuliko wote africa ila asieweza kuongea hata sentensi moja ya kingereza isiyo na makosa.
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,649
2,000
Mwanahabari anauliza:Hon Lissu we saw several opposition members changing their sides to Ruling part as the sign of Magufuli's job appreciation, how do you comment on that?

Lissu:Most of opposition leader have been bribed to change parties and then assured to be 're elected by any means,

Mwanahabari:You say that most of members switching to Magufuli's side is due to promises of getting some posts in the government, why Florence Masha changed from Chadema to Ruling part up to now no any position granted to him???

Lissu: You know Kibiti people died a lotHahahahahaha

Alafu wa Ufipa wanashangilia kichizi duh
Huyo dada Florence Masha ndiyo kwanza namsikia.
 
kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,806
2,000
Florence?? Jinga sana!! Haya mpeleke mwenyekiti wenu tumsikie. Nikugee izi pili zitafute "Amu a politishianzi" na "pipo yuzi tu dai inze ze ze ze ze ze... ze reki (lake).
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,150
2,000
wewe unamounaje masha?? mara leo ni waziri wa mambo ya ndani, kesho kahamia chadema, kesho kutwa kakamatwa huko tukuyu akiharibu shamba la bibi wa kizungu (beberu), hatuja kaa sawa anamiliki fast jet. wewe kwa mtizamo wako unaona hizo ni 'activities' za kawaida?? ulitaka Lisu asemaje, aseme Masha ni 'naniliu' ndio maana amerudi nyumbani!
Masha ni tool ya Faru John
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom