cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,612
- 137,279
Mbowe akili kubwa sana huyu baba.Mwenyekiti angepewa Nyalandu sasa hivi ingekuwa ni mtafutano, ndio maana Mbowe alishasema sumu haijaribiwi kwa kuilamba
Mbowe akili kubwa sana huyu baba.Mwenyekiti angepewa Nyalandu sasa hivi ingekuwa ni mtafutano, ndio maana Mbowe alishasema sumu haijaribiwi kwa kuilamba
Kwani juzi wakai wanafanya mkutano wao,wagombea wa nafasi ya mwenyekiti walikuwa wangapi?CCM ndiyo hawataki Mbowe awe Mwenyekiti
Kwani kwa miaka 60 ya uhuru wa nchi hii ccm imewafanyia nini watanzania zaidi ya kuwatia umasikini ulio topea?CCM Wana mfumo mzuri wa kuachiana madaraka kila baada ya miaka kumi, ndiyo maana wanapeta tu.
Ndiyo maana ccm wananuogopa kuliko hata coronaMbowe akili kubwa sana huyu baba.
yaan we acha tyuhNdiyo maana ccm wananuogopa kuliko hata corona
Of coz asipopatikana mtu kama MBOWE chama kinakufa hilo lipo waziKwa hiyo Mbowe akifa na chadema inakufa?
Usitudanganye. CCM inabadilisha Mwenyekiti kila baada ya miaka kumi kwa sababu Rais mpya anaingia madarakani. Isingekuwa hivyo nao wangebaki na yule aliyeshindwa uchaguzi.CCM Wana mfumo mzuri wa kuachiana madaraka kila baada ya miaka kumi, ndiyo maana wanapeta tu.
Leo hii dr Slaa anaitwa dr Mihogo na misukule yako huku wengine wakiambatanisha na matusi, ww kama mwenyekiti umeshindwa kutoka hadharan kuwakemea hao mbwe.ha koko waliokuwa wanamchafua yule mzee alietumia nguvu zake na mali zake kupigania chama. Ilifikia kipindi dr Slaa alionekana hana thaman hata mbele ya "mr zero" kisa tu mshiko wake aliotumia kuhonga chama. Ki ukweli na bado dhambi ya kumtukana na kumdhalilisha dr Slaa itaendelea kukitafuna chama na wanachama kwa ujumla. Hongera pesa kwa kutuonesha ni nani mwenye roho ya utu na nani mwenye roho ya kutu.
Huo tunauita ukasuku, jiongeze kijanaSi ni SACCOS yake lazima ajitoe kwa moyo.
Inawezekana ikawa hivyo kweli, lakini kuna kigezo kimoja ambacho lazima Mgombea Urais anapaswa awe nacho Kaka Mbowe hana.Usitudanganye. CCM inabadilisha Mwenyekiti kila baada ya miaka kumi kwa sababu Rais mpya anaingia madarakani. Isingekuwa hivyo nao wangebaki na yule aliyeshindwa uchaguzi.
Tofauti kubwa na CCM ni kuwa Chadema wanakubali mtu ambae sio Mwenyekiti kugombea urais. Ni lini CCM wameruhusu mwanachama mwingine kushindana na Mwenyekiti aliyepo kugombea urais kwa niaba yao? Hiyo inatokea pale tu ambapo Mwenyekiti anakuwa hawezi kugombea tena urais kikatiba. Na hata hivyo, kama JK, alivyotufahamisha Mwenyekiti ana maamuzi makubwa kuhusu nani agombee.
Waacheni Chadema waendelee na mfumo ambao wao wanaona unawafaa. Ni wao peke yao ndio wenye maamuzi, sio wapinzani wao.
Amandla...
Um 🥱🥱🥱🥱Huo tunauita ukasuku, jiongeze kijana
Ana degree chuo kikuu Hull,Uingerezz acha kuchota maneno mtaani lete factInawezekana ikawa hivyo kweli, lakini kuna kikwazo kimoja ambacho lazima Mgombea Urais anapaswa awe nacho Kaka Mbowe hana.
Hitaji la Mgombea lazima awe na Elimu ya Degree kutoka katika chuo kinacho tambulika.
Akikujibu nitagiChadema kila siku mnasisitiza kutengeneza mifumo imara ya uongozi na siyo kutegemea mtu mmoja. Mbona nyie hamuonyeshi mfano kwenye chama chenu? Kwa hiyo Mbowe akifariki leo na Chadema ndo basi tena?
Siku akifa ndiyo mtajua ni akili kubwa au ni ujinga mtupuMbowe akili kubwa sana huyu baba.
Mtu anachaguliwa kutokana na mahitaji wa muda na nyakati yeye ni mwenyekiti wa tatu muda muafaka ukifika ataondoka ccm ina miaka mingapi mbona tuliyenaye ni wa sita?Akikujibu nitagi
Mbowe amewahi kugombea ubunge mara mbili .Inawezekana ikawa hivyo kweli, lakini kuna kigezo kimoja ambacho lazima Mgombea Urais anapaswa awe nacho Kaka Mbowe hana.
Hitaji la Mgombea lazima awe na Elimu ya Degree kutoka katika chuo kinacho tambulika.
Hilo ni sawa na gunia tupu lidharauAna degree chuo kikuu Hull,Uingerezz acha kuchota maneno mtaani lete fact
Nakuona upo kwenye ubora wako.Akikujibu nitagi
Huna hoja wewe bimkubwaSiku akifa ndiyo mtajua ni akili kubwa au ni ujinga mtupu
Nakuona upo kwenye ubora wako.View attachment 1774626