Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

Haya mahojiano ya Mhe. Lissu na Mhe. Mbowe nimejifunza vingi.

Kuna watu wana exposure kwenye nyanja nyingi kuanzia Kijamii na Kiuchumi ndiyo maana wanafanikiwa.

Imagine Mbowe ameanza biashara akiwa na miaka 20's, ana connect ndege kutoka Jiji moja hadi lingine at that age.

Ndiyo maana Mkuu The Boss aliwahi kuandika kuwa Mbowe ni mtoto wa Mjini kitambo.

Kama miaka ya 1990 anachangia chama milioni 1 kutoka kwenye akaunti yake binafsi, ina maana zilikuwa nyingi ndiyo maana alitoa kiasi hicho 🙌

Anyways, sio vibaya kujifunza kwa waliofanikiwa
 
Nyerere mwenyewe alishawahi ulizwa ni chama gani anapendezwa na sera zake, akasema CHADEMA. Hiyo speech serikali ya CCM wameificha mpaka kesho
Ccm wanaogopa hadi bendera tuu za chadema wanahangaika kuzishusha utafikiri bendera zile ndio watu. Chadema ipo mioyoni kwa watu haifi leo wala kesho. Kubalini tuu kuishi na chadema kama mlivyo kubali kuishi na Ukimwi siku zote.
 
Back
Top Bottom