Uchaguzi 2020 Lissu akwepa kwenda Zanzibar, hao wadhamini kawapataje?

Mbona unaumia sana na lisu kwani mbona humtaji jiwe yy hakwenda lipumba Hashim mzee wa ubwabwa cck UDP wote hawakwenda unadili na lisu kama aliyekuzalisha njee ikawa hakuketeei huduma ya mtoto kila wakati una mtaja taja
Si ndie namwona mitandaoni akipiga porojo, alisema habari zake tutazipata kwa wasapu Nasir tunamuuliza kwa wasapu
 
We ng'ombe ungejua kua Lissu ndio mtu wa bara ambaye pekee ndio shujaa wa wazanzibari usingeandika huu uharo.....
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?

Huko mbona hakwenda kuziba barabara na matarumbeta? Kwa ratiba yake leo alipaswa kuwa Pwani na Kesho Zanzibar kahepa sio?

Kesho tukimwona barabarani atakuwa nafanya maandamano haramu sio, kwani wadhamini keshapata. Eti kasema kazunguka mikoa yote kasoro sita.

Nimuulize ameonaje miundombinu? Kazunguka nchi nzima bila kukanyaga barabara ya vumbi lami mwanzo mwisho namwomba aseme "hongera JPM kwa kazi nzuri".

Miundombinu? Kama hii?

IMG_20200808_073721_332.jpg

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?

Huko mbona hakwenda kuziba barabara na matarumbeta? Kwa ratiba yake leo alipaswa kuwa Pwani na Kesho Zanzibar kahepa sio?

Kesho tukimwona barabarani atakuwa nafanya maandamano haramu sio, kwani wadhamini keshapata. Eti kasema kazunguka mikoa yote kasoro sita.

Nimuulize ameonaje miundombinu? Kazunguka nchi nzima bila kukanyaga barabara ya vumbi lami mwanzo mwisho namwomba aseme "hongera JPM kwa kazi nzuri".

Kwani Magu yeye anawapataje wa kwake? Umeleta hoja ya kipumbavu!
 
hawa walioshindwa kujenga ofisi za chama lami ndio wataweza? kazunguka na Benz nchi nzima na haukupata pancha,

Hizo mnazochoma ni nini? Au unataka zijengwe nyingi mpate mgao zaidi wa kuzichoma?
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Kuwa mwenda wazimu siyo lazima uokote makopo. Barabara zote za lami zimejengwa miaka mitano tu!!!
 
Lisu badala yakuongelea kuboresha maisha ya vijana anaongelea kuongeza mshahara wa police ili wamlinde vizuri
 
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasaa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini?...
Huna hoja, umemeona magu akizunguka? Kwa taarifa yako wadhamini walishapatikana mspema tu, alikokuwa anapita ni kuleta amsha amsha tu
 
Back
Top Bottom