Tetesi: Lissu ahofia Kurudi Nchini, Aomba hifadhi Norway

Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
5,776
Points
2,000
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
5,776 2,000
9/7/2019 au 7/9/2019

Mnachekesha sana
Hiyo tarehe sikufuatilia sana kama mdau kafanya makosa.

Kwangu hoja ni kwamba Lissu huenda hatarudi sasa kutokana na usalama wake kuwa shakani.

Hii hoja ni survival instinct tu, haitokani na siasa.
 
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,245
Points
2,000
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,245 2,000
Lissu hakuumbwa na woga ni DUME LA MBEGU LILE September 7, 2019 ni lazima atie mguu Bongo nduli na dikteta wa Ikulu ATAKE ASITAKE.
Mnacheza na mamlaka! Kutua ama kutokutua kunaweza amliwa na mamlaka nyingine. Rejea SAGA ya Miguna Miguna wa kenya! Alitiwa kichwa na mitandao hivi hivi akaja alikomea airport, akalazwa chooni siku ya tatu akajikuta yupo Dubai airport hajielewi akarudishwa Canada mpaka leo. Wenye mamlaka wako kimya wanajua wanachokifanya.
 
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
2,546
Points
2,000
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
2,546 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Kwahiyo hatarudi bongo kabisa mpaka afe
 
K

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
1,644
Points
2,000
K

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
1,644 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Kama huna la kuandika kama kimya hata kama ameomba kuishi Norway cdhani kama atakuambia kwani ww ni nani?? Lisu alisema anakuja mwezi wa tisa 2019
 
B

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
1,348
Points
2,000
B

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
1,348 2,000
Leo ni Ijumaa,siku takatifu kwa waumini wa kiislam,ni vizuri tukaungana sote katika siku hii takatifu.
Waislam na wengine wasio waislam wanaamini kwa Mwenyezimungu hakuna linaloshindikana.
Tumuogope Mwenyezimungu kwani adhabu zake ni kali saana
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,582
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,582 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Mmeanza kujinyea Yule Ni Sululu la Chuma. Hata Magufuli anashangaa jamaa kwanini haogopi pamoja na risasi 38 alizopigwa?? Hata ningekuwa mimi ndio Magufuli kwa akili na ubinadamu wa kawaida lazima nimuogope Lissu ni kiumbe cha ajabu sana.
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
2,900
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
2,900 2,000
Tabulalasa at work from Lumumba .
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
3,795
Points
2,000
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
3,795 2,000
Tupe source, otherwise, ni umbeya tu kama ilivyozoeleka.
 
Nakukunda

Nakukunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Messages
531
Points
1,000
Nakukunda

Nakukunda

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2017
531 1,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Nampenda sana Lissu..hata mimi natamani asirudi mpk watesi wake wajulikane na kuwajibishwa...aendeleze mapambano huko huko.
 
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,357
Points
2,000
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,357 2,000
Ndivyo mnavyojifariji kwamba harudi,mnachekesha sana
 
Nathan Jr

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Messages
1,400
Points
2,000
Nathan Jr

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2017
1,400 2,000
Dah kuogopa ni kubaya mwambie arudi.
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,066
Points
2,000
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,066 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Usiwafanye wasiojulikana wakasitisha zoezi lao
 

Forum statistics

Threads 1,316,456
Members 505,652
Posts 31,891,034
Top