Tetesi: Lissu ahofia Kurudi Nchini, Aomba hifadhi Norway

tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
20,567
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
20,567 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Acha upotoshaji, kasema anarudi nchini tarehe 7 septemba 2019, na atagombea urais. Ww sema unataka asirejee kwani huyo mgombea wako unajua fika hawezi siasa za ushindani zaidi ya kutumia mabavu. Atarudi hivyo andaeni kundi la kumuua tu maana hana hofu na nyinyi. Pumbavu kabisa.
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
16,908
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
16,908 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Lisu Harudi Huyo taarifa mbona zilivuja siku nyingi tu alikuwa ana buy time tu ale pesa bure za bunge akisubiria kuidhinishwa kwa makaratasi ya ukimbizi ya kwake na familia Yake.Tundu Lisu harudi hizo tarehe anazotaja Ni fix tu za uongo za KU fool Wana chadema wenzie.Ukweli Ni kuwa harudi.Siku nyingi mbona inajulikana.Harudi Wala Sio kiti Cha kukisia
 
King klax

King klax

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Messages
2,129
Points
2,000
King klax

King klax

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
2,129 2,000
Bora usije, mpaka wapatikane na wenyewe wamiminiwe marisasi kama walivyo kumiminia ww marisasi!!!!!!!
 
O

Onjwaria

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
726
Points
1,000
O

Onjwaria

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
726 1,000
Huyu mccm kaandika mavi tu LISU alisema anakuja tarehe 7/9/2019 na siyo 9/7/2019. Watu hawa na vibuku 7 wanaamua kutuharibia mb zetu kipuuzi. Laana zikupate na post yako
 
T

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
569
Points
1,000
T

Trust None

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2018
569 1,000
Tetesi hizi zina uhalisia sana kuliko zile taarifa za kishabiki kisisiasa kwamba anarudi nchini na atagombea uraisi.

Sidhani kama ndugu na washauri wake watamuunga mkono kuja nchini kwa sasa.

Ni hatari kwake maana waliomjeruhi bado hawajapatikana.
9/7/2019 au 7/9/2019

Mnachekesha sana
 
Mackanackyyy

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2019
Messages
518
Points
1,000
Mackanackyyy

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2019
518 1,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Mtajikojolea sana kwa hofu hadi kufikia hiyo tarh 7/9/2019
 
rip faza_nelly

rip faza_nelly

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2018
Messages
1,977
Points
2,000
rip faza_nelly

rip faza_nelly

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2018
1,977 2,000
And then what!
Lissu hakuumbwa na woga ni DUME LA MBEGU LILE September 7, 2019 ni lazima atie mguu Bongo nduli na dikteta wa Ikulu ATAKE ASITAKE.
 
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
4,487
Points
2,000
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
4,487 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Umekurupushwa anatarajiwa kutua nchini tarehe 7/9/2019 na siyo tare yako ya 9/7/2019
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
6,194
Points
2,000
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
6,194 2,000
Hilo ndilo jambo jema kwa sasa. Wabaya Wake bado wapo wanawinda roho yake
 
kongobelo

kongobelo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Messages
361
Points
500
kongobelo

kongobelo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2012
361 500
Septemba 7 mimi wa kwanza Airport nikimsubiri.
 
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
1,692
Points
2,000
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
1,692 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
AENDELEE KUKAATU MAANA WALIOKUWA WANAMTAFUTA BADO WAPO NA HAWAJAKATA TAMAA.

Hata Yesu alipelekwa uhamishoni misri hadi yule mfalme aliyekuwa anaitafuta roho yake alipofariki
 

Forum statistics

Threads 1,316,113
Members 505,494
Posts 31,879,434
Top