Tetesi: Lissu ahofia Kurudi Nchini, Aomba hifadhi Norway

Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
5,768
Points
2,000
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
5,768 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Tetesi hizi zina uhalisia sana kuliko zile taarifa za kishabiki kisisiasa kwamba anarudi nchini na atagombea uraisi.

Sidhani kama ndugu na washauri wake watamuunga mkono kuja nchini kwa sasa.

Ni hatari kwake maana waliomjeruhi bado hawajapatikana.
 
Lagrange

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
1,764
Points
2,000
Lagrange

Lagrange

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
1,764 2,000
Kama ni kweli mda utasema.
 
K

kirengased

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Messages
3,036
Points
2,000
K

kirengased

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2016
3,036 2,000
Wewe ndio msemaji wake? au waubavu wake?
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
62,107
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
62,107 2,000
Tetesi hizi zina uhalisia sana kuliko zile taarifa za kishabiki kisisiasa kwamba anarudi nchini na atagombea uraisi.

Sidhani kama ndugu na washauri wake watamuunga mkono kuja nchini kwa sasa.

Ni hatari kwake maana waliomjeruhi bado hawajapatikana.
walimvua ubunge ndio waliomjeruhi , hata hilo nalo hulijui ?
 
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
4,170
Points
2,000
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
4,170 2,000
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
Bangi Bwana! Mbaya sana, muwe mnangoja zikauke, au mchambue Mto’e mbegu, msivute kila kitu...

Hata mbuzi huchunwa ngozi Kabla ya kuliwa
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,865
Points
2,000
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,865 2,000
Bora apumzike zake huko aangalie namna ya kuishi kwa amani.
Watu wenyewe anaotetea hawaeleweki wanahongwa kanga na kofia na elfu kumi kumi wanaingia mkenge.

Lissu pumzika tu huko vijijini kuna mijitu huwezi kuiambia ikaelewa kitu kuhusu udharimu wa sisiemu
Inasemekana Mheshimiwa Lissu ataanza kuishi Nodland huko Norway,

Alitarajia kutua nchini juzi tarehe 9/7/2019
Lakin mnyetishaji kasema haji tena
 
B

Bungua

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
228
Points
250
B

Bungua

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
228 250
We dada ! Mbona nduguze hawaendi wafungulia mashitaka ? La !
Jaji akiwa Mashauri( hakimu wa Mbowe na Matiko). Kabla ya kesi kuanza ni mambo ya dhamana. Umeshindwa dhamana, je? utaweza kesi!
 
Forum statistics

Threads 1,316,112
Members 505,494
Posts 31,879,356
Top