Lissu acha kushambulia watu, nadi sera zako watu wakuelewe

Mbona hata hapa makambako, amenikuta, ameishia kubwabwaja eti kuna rami moja tuuu, kilichofuata nimweleka wake wa juukwaani akasepa zake

Acha chuki basi kijana, utaanza kuwa mchawi Bure,

Kama unaona Hana sera wala ajakuvutia weka 🎧 Sikiliza bongo flava
 
Lissu hana sera yoyote bali ni kujifanya mjuaji kuliko watu wote, Wananchi wanakwenda kwenye mikutano yake kumshangaa tu.
 
“Na huyu aliyesema mtu kashiba ugali wake anakuja kusema ndege hazina faida kwani yeye alikuja kwa bajaji” hii ni sera?
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Bora anayewasema na sii kwa kificho, lengo wakiri pale walipokosea na wajirekebishe, kuliko anaye tweza utu wa watu.
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Hizi Sera hana, maana yamtokayo mdomoni ndio yaliyomjaa moyoni mwake.Atavuna apandacho kwenye box la kura.
 
HAKUNA KIPINDI CHADEMA WAMEKOSA MGOMBEA KAMA KIPINDI HIKI.

mh.mbowe, ilikulinda heshima yako, ujiudhuru uongozi baada ya mgombea wako kushindwa vibayaaa. Ni ushauri tuu.
 
Back
Top Bottom