Lissu acha kushambulia watu, nadi sera zako watu wakuelewe

Umemsikiliza hadi mwisho maana amenadi sera barabara sasa ulitaka asiseme kuwa Mwanyika hana sifa ya kuwa mbunge kwa mujibu wa sheria za Tanzania wakati ni kweli na kwanini amepitishwa kinyume na sheria ya uchaguzi.
Lissu ni wakili atueleze ni sheria namba ngapi na kifungu kipi kilichokiukwa, haya mambo ya kutuambia kienyeji hatutaki, najua tangu awe wakili hajawahi shinda kesi hatamoja hivyo sidhani kama anajua kutafsiri sheria sawasawa.
 
Moja ya wajibu muhimu kwa serikali yoyote mpya ni kusahihisha na kukomesha madudu ya serikali iliyopita. Vyama vya upinzani kueleza madudu ya serikali iliyopo kwa ahadi ya kwenda kuyashughulikia nayo ni Sera isiyoepukika.

Mfano Mwalimu Nyerere mwaka 1995 katika hotuba yake ya mustkabali wa taifa na uongozi wetu alitamka na alikosoa madudu yaliyofanywa na utawala was Ally Hassan Mwinyi na kutoa rai kuwa raisi ajaye akayashughulikie.
wacha kuchanganya mambo, nyerere hajawahi mshambulia mtu binafsi iwe kwenye jukwaa au katika mikutano yake
 
Lissu ni wakili atueleze ni sheria namba ngapi na kifungu kipi kilichokiukwa, haya mambo ya kutuambia kienyeji hatutaki, najua tangu awe wakili hajawahi shinda kesi hatamoja hivyo sidhani kama anajua kutafsiri sheria sawasawa.

Lete data acha kuongea tu Kama pole pole,

Ajashinda kesi hata moja, una uhakika?
 
sasa wewe unaejua ukweli tuambie tangu awe wakili kashinda kesi ngapi? pamoja na kuwa mwanasheria wa chadema kesi za chadema zinasimamiwa na kibatala si asimamie mwenyewe kama kweli anajua sheria
 
Ndio maana mie najiuliza huyu Lissu mdahalo atauweza kweli au ndio maana anamtaka Magufuli ili amshambulie kwenye huo mdahalo? Maana Lissu kitu ambacho anakimudu vizuri ni kushambulia watu.
Anatuamia silaha gani kushambulia watu AK47, short gun au riffle
 
sasa wewe unaejua ukweli tuambie tangu awe wakili kashinda kesi ngapi? pamoja na kuwa mwanasheria wa chadema kesi za chadema zinasimamiwa na kibatala si asimamie mwenyewe kama kweli anajua sheria

Nakupa kesi mbili tu za Chadema

1. Ubunge wa Lema Arusha
2. Ubunge wa Lijualikali
 
sasa wewe unaejua ukweli tuambie tangu awe wakili kashinda kesi ngapi? pamoja na kuwa mwanasheria wa chadema kesi za chadema zinasimamiwa na kibatala si asimamie mwenyewe kama kweli anajua sheria

Magufuli si injinia yule?
Kuna siku umemwona anasimamia kuchanganya zege kwenye madaraja?
 
Lissu ni wakili atueleze ni sheria namba ngapi na kifungu kipi kilichokiukwa, haya mambo ya kutuambia kienyeji hatutaki, najua tangu awe wakili hajawahi shinda kesi hatamoja hivyo sidhani kama anajua kutafsiri sheria sawasawa.
Kuna sheria kifungu 3() c kinasema uwanja wachato ni wakimataifa lkn unatua ndege moja tu tena msimu wa krismas na pasaka

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Lissu tunamsifu kwa ushujaa wake na kutokumumunya maneno, kama jiwe anaambiwa ukweli wake kuhusu ufisadi anaofanya huyo Mnyika ni nani? Tunakupata Lissu endelea mbele.
 
Nimemsikiliza Lissu akimshambulia Deo Mwanyika, nimesikitika sana, nimejiuliza huyu mtu anayeitwa Lissu anamatatizo gani? Sote tunajua Deo alipata shida kwa kudhaniwa anauhusiano na Lissu. Sasa bado tu anamwandama, hivi hamna namna Lissu akafanya kampeni bila kutuhumu mtu? Siasa gani za hovyo anazofanya?

Lissu huyuhuyu aliyokuwa bungeni aliwashambulia kwa maneno makali Prof Tibaijuka Anko Rugemarila na Askofu Kilaini bado tu anaendeleza haya mambo? Akiwa Rais atakuwa mtu wa namna gani?
Siasa za watu na viatu
 
Una mtindio wa ubongo?
 
Yeye na chama chake hawana sera ! Maneno yamewaishia wanaanza ku rewind! Wamejaa chuki.
Wananchi wa Bukoba naomba wawawekee sehemu maalumu Peponi . Leo wamemwambia Meko mubashara kabisa “Hatukutaki” wala hatutakupigia kura! TBC wamekata kipande Meko anabishana na wananchi mapovu yanammwagika tuu! Kwani ni lazima wananchi wakukubali mzee?
 
Kama nitaenda kwenye mkutano wa jiwe ni kwa ajili tu ya kumshangaa mtu anayeiharibu nchi na si kusikiliza upumbavu mwingine wowote
 
Back
Top Bottom