Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Lissu ndo Raisi mtarajiwa wa Tanzania ambaye anabeba maono ya kuivusha Tanzania. Jiwe anaweza kuwa ndo Raisi kwanza kuongoza kwa miaka mitano ajiandae kurudi kijijini kwake Chato huko alipojenga hekalu madikteta wengi wakipata madaraka huwa vitisho vingi sana kama ambavyo Jiwe anavyo tarehe 28-09-2020 tutamrudisha chato hii nchi si mali ya kikundi cha wahuni
 
CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
Hata nyie mnataman kufanya, Kama mlivyofanya 2015 kwa Lowassa. Sema ndo hivyo, Hamna hela😂😂
 
Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum.

Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea huyo leo anatarajiwa kuingia mkoani Pwani kwa kishindo ambapo atafanya mikutano mikubwa ya kampeni katika miji ya Kibaha, Chalinze na Bagamoyo

Mara baada ya awamu ya kwanza kuzindua kampeni kwenye kanda zote 10 kwa Sasa lengo kubwa ni kufanya mikutano mingi ya kukutana na wananchi kwa kila mkoa na kila Jimbo la uchaguzi.
Habari njema kwa raisi mtaraniwa
 
Back
Top Bottom