Lissu: 95% ya madini yetu yanaibiwa hapa nchini, Magufuli amekomaa na 5% sababu tu yanatoka nje

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Tundu Lissu amesema rais anamiinisha watu uongo na ripoti ya Profesa Mruma ni takataka ambayohaitamaliza hata dk. 15 mahakamani.

Amesema makontena yaliyoshikiliwa bandarini yana 5% pekee ya dhahabu yetu na 95% ya dhahabu wana extract mgodini na ndipo wanapotuibia lakini Magufulihajaona kama tunaibiwa kwa sababu tu wana extract mchanga nchini

 
Tatizo lipo kwenye mikataba inayowaruhusu kuchukua zaidi kutubakishia kidogo. Tuseme tu ukweli, we have a buyer's remorse, lakini siyo tumeibiwa. Haya makinikia kila mtu anaweza kusema lolote. ACACIA nao wataleta tume yao, itakuja kusema ni uongo hakuna kiasi cha madini kilichotajwa kuwepo na wakina Mruma. Ufumbuzi: tukae mezani na ACACIA tufanye review ya mikataba.
 
Back
Top Bottom