Huu Uzi ulinisaidia sana kujua mengi kabla mwanangu hajazaliwa na baada ya kuzaliwa. Ana miaka mitatu sasa na Shule ameanza. MUNGU MKUBWA
Mm mwanangu alianza uji,nachukua unga nauchuja naweka na blue band, tangu akiwa na wiki mbili...alipofika miex mi2 na nusu nkawa nampigisha adi supu ya nyama, nyepesi,plus kiini cha yai LA kuchemsha nakiponda na maji..alikuwa na afya nzuri sana na kilo za maana...hakuwai kuumwa kwa Mara ya kwanza kuugua akiwa na 9 months,,
U hali gani mama?Nafurahi kuskia hivo,shukraan sana
Mazingira my dearWee kiboko mtoto wa wiki mbili!
Huu Uzi ulinisaidia sana kujua mengi kabla mwanangu hajazaliwa na baada ya kuzaliwa. Ana miaka mitatu sasa na Shule ameanza. MUNGU MKUBWA
U hali gani mama?
Mkologee uju mwepesi..sana..mchanganyie na blue band..na vilevile mpondee ndizi au viazi viwe laini mix na supu ya nyama..Habari wakuuu nmpe nini mwanangu wa miez 5 naona anakondaa anakunywa maziwa ya mama yke tu
Mtoa mada naomba kujua wapi nitapata mbegu "carom seed" tafadhali nina shifa nazo mno
Dar es salaamUko mkoa gani?
Dar es salaam
Sawa mpendwaOkay mie sio mwenyeji wa Dar anyway ulizia maduka ya spices hususan ya warabu unaweza pata
Okay mie sio mwenyeji wa Dar anyway ulizia maduka ya spices hususan ya warabu unaweza pata
tenamara moja moja unamwandalia na safari baridi kama analia lia sana!!
Nikiwa mzazi nitakutafuta lolsMm mwanangu alianza uji,nachukua unga nauchuja naweka na blue band, tangu akiwa na wiki mbili...alipofika miex mi2 na nusu nkawa nampigisha adi supu ya nyama, nyepesi,plus kiini cha yai LA kuchemsha nakiponda na maji..alikuwa na afya nzuri sana na kilo za maana...hakuwai kuumwa kwa Mara ya kwanza kuugua akiwa na 9 months,,