Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

UJI WA MCHELE,NDIZI NA APPLE...

Mahitaji

Mchele

Ndizi iliowiva

Apple...

Namna ya kutaarisha....

Chemsha mchele weka maji ya kutosha

Ukikaribia kuwiva weka apple na ndizi

Wacha viwive kdg...

Epua na saga kwa blenda

Ongezea maziwa (formula au ya mama) kutegemea na uzito unaotaka

Cc Phenomenon Lady
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye snacks shosti, badala ya cookies hebu mpe something healthy kama kipande cha chungwa, embe ama nanasi. Cookies haina virutubisho anavyohitaji. Tusisahau soda is a no ~no

Nakubaliana nawe kuhusu kutolazimishana na kuzima tv.

Wakati mwingine kuonja chakula cha mtoto ni muhimu sana. Kuna mtu nilikuta anamkaba mwanae anywe mazima, kumbe maziwa yenyewe ni maji matupu and tasteless

Lol katoto kamegoma kunywa maziwa maji lol pia watoto wasiopendea kunywa maziwa unaweka chocolate kidogo atakunywa tu vile ladha yake
 
Mi mtoto wangu asb anapata uji wa ulezi.

Mahitaji
.ulezi
. Karanga
. Mchele

Chambua karanga vizuri kutoa zilizooza kisha osha vizuri ulezi na mchele mpk mchanga wote uishe kisha anika juani hlafu badae peleka mashineni kusaga ili kupata unga wenyewe.

NOTE : mchanganyiko wa ulezi,karanga na mchele uzingatie ratio.

Baada ya kupata unga,huwa namtengenezea uji kwa kutumia maziwa kisha mchana anapata ndizi au viazi mviringo vilivyopndwa vikiwa accompanied na mboga mboga. Akimaliza kula anapata maji kisha badae akipata njaa jioni anapata maziwa.

Ila kwenye kumpa chakula sasa ni vita,ni muoga sn na muda wote anajua ni dawa hivyo kwa mara ya kwanza ni lazima kumkaba ili aonje na akishaonja tu anaanza kula bila shida.
 
Hata wa kwangu anapenda machungwa kuna watoto wanapendea zaidi vya chumvi kuliko vya sukari ndio mana wengi hawapendi uji

Mi wangu anapenda sn tikiti maji,loh na vile sasa ana vimeno sita yaan ni shida. Lkn namshukru Mungu kwakuwa mwanangu sio msumbufu sn ktk suala zima la kula.
 
Sina mtoto lkn nimejifunza mengi,,, asanteni wachangiaji wenye mapya leteni tujifunze
 
Oooph naenjoy kupata maujanja haya ya afya ya watoto yan hapa ni full notes kwa kila kitu maana nina baby boy wa miezi 5 hapa so nasubir tu afike miezi 6 tuanze kumpata menu..
 
Mi mtoto wangu asb anapata uji wa ulezi.

Mahitaji
.ulezi
. Karanga
. Mchele

Chambua karanga vizuri kutoa zilizooza kisha osha vizuri ulezi na mchele mpk mchanga wote uishe kisha anika juani hlafu badae peleka mashineni kusaga ili kupata unga wenyewe.

NOTE : mchanganyiko wa ulezi,karanga na mchele uzingatie ratio.

Baada ya kupata unga,huwa namtengenezea uji kwa kutumia maziwa kisha mchana anapata ndizi au viazi mviringo vilivyopndwa vikiwa accompanied na mboga mboga. Akimaliza kula anapata maji kisha badae akipata njaa jioni anapata maziwa.

Ila kwenye kumpa chakula sasa ni vita,ni muoga sn na muda wote anajua ni dawa hivyo kwa mara ya kwanza ni lazima kumkaba ili aonje na akishaonja tu anaanza kula bila shida.

Ahsante sana ntajaribu mchanganyiko huo mana nliwahi kumchanganyia mzuri tu hakuupenda
 
Oooph naenjoy kupata maujanja haya ya afya ya watoto yan hapa ni full notes kwa kila kitu maana nina baby boy wa miezi 5 hapa so nasubir tu afike miezi 6 tuanze kumpata menu..

Kuna madokta wanasrma its ok kumpa chakula mtoto kuanzia miezi minne ila viwe vyepesi sana mfano apple and carrot puree au uji mwepesi ila maamuzi ni wewe mlezi mwenyewe
 
Mi wangu anapenda sn tikiti maji,loh na vile sasa ana vimeno sita yaan ni shida. Lkn namshukru Mungu kwakuwa mwanangu sio msumbufu sn ktk suala zima la kula.

Wow maashaAllah ana umri gani? Wangu miezi 8 na nusu ila hajaanza kutoa meno
 
Mkuu Farkhina asante ila mbona wengi na hata ninapomsindikiza wife kriniki wanasema lazima awe na miezi 6 ndo nimpe chakula kingne cha ziada ya maziwa ya mama?
 
Nliwahi sikia kuna watoto hupikiwa uji wa unga wa muhogo kuna yoyote aliewahi mpa mtoto wake? Hauna tatizo kwa digestion?
 
Kuna madokta wanasrma its ok kumpa chakula mtoto kuanzia miezi minne ila viwe vyepesi sana mfano apple and carrot puree au uji mwepesi ila maamuzi ni wewe mlezi mwenyewe

Mkuu Farkhina asante ila mbona wengi na hata ninapomsindikiza wife kriniki wanasema lazima awe na miezi 6 ndo nimpe chakula kingne cha ziada ya maziwa ya mama?
 
Mkuu Farkhina asante ila mbona wengi na hata ninapomsindikiza wife kriniki wanasema lazima awe na miezi 6 ndo nimpe chakula kingne cha ziada ya maziwa ya mama?

Ndio wanatafautiana mawazo ila muhimu kufuata ushauria wao mimi binafsi nlishauriwa na dokta wake nianze kumpa uji na puree na vyakula laini alitimiza miezi 4 na ilikua vizuri tu alikua ok na hakuwa akipata tabu choo ila tu ana chagua sana vyakula
 
Asante mkuu ngoja tuendelee kupata nondo kwny huu uzi
 
mwanangu ten months hapendi lishe (uji)anakula uji wa dona naweka maziwa au blu band hapendi sukari,anapenda machungwa sana
mtori anapenda na ugali mlaini
juice ya chungwa na maparachichi ndo vyakula vyake

tupo sawa mkuu wakwangu nikimpa uji wa ulezi ujue hapo ni vita. ila akiona wali,ndizi,viazi,ugali na tambi hapo atakula kama sio yeye
kwenye matunda sasa ndio mahala pake haswa chugwa ,embe na ndizi ndio anavila kwa kushika mwenyewe.

kwenye uji nampa uji wa dona uliochanganywa na blue bend,sukari kwa mbali na maziwa ya ng'ombe.

hapo kwenye maziwa tulimtafutia sehemu wanayo uza maziwa kisha tuka chagua ng'ombe mmoja tu kwa ajili yake.

kwa upande wa juisi wangu hanywi yani hapo ni vita. ila .anakunywa sana maji.

cha ajabu sasa hataki kulishwa na mama yake ila akilishwa na watu wengine anakula bila wasi wasi

kitu kinacho kuja mwanangu ana miezi 8 ila bado haja anza kutambaa ila meno anayo. jana tumempeleka kriniki amekutwa na kilo 10
 
pls tusaidieni sisi wazazi wa uzao wa kwanza:
1. Umri gan anatakiwa aanze kukaa
2. kusimama na kutembea
3. meno yanatoka akiwa na umri gani?

Ni mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom