Lisemwalo lipo kama halipo laja-Wachaga mpoo?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Wadau
Japo sina kawaida ya kufuatilia yasemwayo mitaani lakini hili naliona linafanana na ukweli kama si kukaribiana,hivyo nalisema hapa tuliangalie kama halilet hisia hizo na kama linaleta je ni wapi tunaenda?
  • Inasemekana kuwa wazabuni wengi wanaoidai serikali kupitia taasisi zake na wizara mbalimbali hawajalipwa madai yao kwa kuwa wengi ni WACHAGA na wakilipwa wanakifadhili CDM hasa kipindi hiki cha uchaguzi mdogo wenye mchuano mkali kule Igunga!
  • Pia inasemekana wafanyakazi wengi waserikali hadikufikia jana hawajapokea malipo yao HALALI ya mshahara wa mwezi September kwa kuwa kuna funds zimekuwa diverted to the election ndogo ya Igunga!
  • Pia nasikia wakuu wa idara na makatibu wa wizara pia wakurugenzi wa halmashauri na majiji wametakiwa kutoa kiasi fulani kufanikisha sherehe za miaka 50 ya MZEE ambaye bado ananyonya na kutambaa,badala ya kuelekeza funds kwenye mahitaji yenye budget scarcity na development expenditures! kwa mtazamo wangu sikuona tunachosherehekea,tungeadhimisha kwa kuwa na kali mbiu ya kuzaliwa upya na kuanza upya kila kitu!! yaani miaka 50 ya Independency wuth NO WATER,NO ELECTRICITY,NO FUEL!!!
  • Kama ni kweli je taifa linaenda wapi maana naona siasa mbele na utendaji nyuma maana hata diwani anayetumia saini ya dole gumba ana nguvu kuliko daktari au mhandisi wa wilaya nk
  • Nakaribisha mjadala...
 
habari ya siku mingi...... naona hela zote zimehamia huko hebu leta kidogo huku tutafune w/end hii
 
Inkoskaz, yote uliyoyasema na mimi nimesikia na mawizara sasa hiyo yako bize kugawana siku pale kidongo chekundu wakiteketeza pesa kwa kikaa juani

WE HAVE TURNED OUR FOCUS TO MCHELE NA KAMUHOGO KULIKO KAZI NA UFANISI
 
mkuu kwa kwa ...kwa kweli kweli sielewi kinachowashindisha watu juani pale na kuacha ofisi hazina watendaji wa kuhudumia wenyenchi eti kisa maadhimisho...inanikumbusha wale waliosukuma gari kule wizara ya MeGaWaTi!!!!
 
pesa za sherehe zipo.pesa za uchaguzi pia zipo.lakini pesa za madawa na barabara hamna..je tutafika? Watoto wetu watakuta nchi imebaki skeleton
 
Sina la kupinga hata moja hapo juu, ni kweli kabisa, sasa wamekuja na kisingizio eti salaries zinachelewa kwasababu wanataka kutuwekea malimbikizo yetu, waongo wakubwa hawa, malimbikizo yanalipwa kwa style hio? shen....zao kabisa
 
Wadau
Japo sina kawaida ya kufuatilia yasemwayo mitaani lakini hili naliona linafanana na ukweli kama si kukaribiana,hivyo nalisema hapa tuliangalie kama halilet hisia hizo na kama linaleta je ni wapi tunaenda?
  • Inasemekana kuwa wazabuni wengi wanaoidai serikali kupitia taasisi zake na wizara mbalimbali hawajalipwa madai yao kwa kuwa wengi ni WACHAGA na wakilipwa wanakifadhili CDM hasa kipindi hiki cha uchaguzi mdogo wenye mchuano mkali kule Igunga!
  • Pia inasemekana wafanyakazi wengi waserikali hadikufikia jana hawajapokea malipo yao HALALI ya mshahara wa mwezi September kwa kuwa kuna funds zimekuwa diverted to the election ndogo ya Igunga!
  • Pia nasikia wakuu wa idara na makatibu wa wizara pia wakurugenzi wa halmashauri na majiji wametakiwa kutoa kiasi fulani kufanikisha sherehe za miaka 50 ya MZEE ambaye bado ananyonya na kutambaa,badala ya kuelekeza funds kwenye mahitaji yenye budget scarcity na development expenditures! kwa mtazamo wangu sikuona tunachosherehekea,tungeadhimisha kwa kuwa na kali mbiu ya kuzaliwa upya na kuanza upya kila kitu!! yaani miaka 50 ya Independency wuth NO WATER,NO ELECTRICITY,NO FUEL!!!
  • Kama ni kweli je taifa linaenda wapi maana naona siasa mbele na utendaji nyuma maana hata diwani anayetumia saini ya dole gumba ana nguvu kuliko daktari au mhandisi wa wilaya nk
  • Nakaribisha mjadala...

kwenye redi hapa kwetu tayari mengine siyajui.
 
Back
Top Bottom