Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.
Kaka tukitokea katika hoja yako naomba nikujibu kama ifuatavyo:
- Americans particularly politicians they are after their country interests (patriotism) but sikubaliani nawe kwa individuals americans ambao they will like to see maisha mazuri mahali. Mfano nakupa Bill Gates anamwaga kila siku mabilioni Tanzania katika project za malaria na ukimwi. Hivyo sikubaliani na mtazamo wako kuwa mzungu anapokosoa utawala wetu. Hiyo ni uzalendo wa hali ya juu pengine kutushinda sie ngozi nyeusi ambao uzalendo wetu wengi ni after pesa (wakenya wanasema Chapaa).

- Kuhusu mkwawa aliuwawa usitake kugusa machungu ya watu for sympathetic support mbona wakati wa mkoloni kulikuwa na matarishi weusi kama sie waliokuwa kazi yao kwenda kupeleka siri za waafrika kwa wazungu? Binafsi naona sawa mzungu kutukosoa kwasababu by the way wao ndio wanatupa pesa za kuishi hapa mjini (for your information 40% of our national budget comes from donors who happens to be wazungu). Hivyo wana haki kama sie kutukosoa wanapoona kodi zao zinaenda sipo.

Lete hoja nyengine kaka!!!

- Well unajua siwezi hata kujadili hoja za huyu Mzungu Mkoloni kwa sababu mambo ya taifa langu hayamhusu, ukimsaidia mtu msaada haina maana kwamba unamu-own, na hasa msaada wenyewe unapokuwa kama wa hawa wazungu yaani kuturudishia walichotuibia na wanachotuibia kila siku ya Mungu kwa sababu ya uwezo wetu mdogo wa kufikiri na kujiendeleza.

- Ndio maana ninasema utumwa upo wa aina nyingi sana!

William.
 
Ahaa, Wakija akina Bush wakiwasifia Kilemba cha Ukoka Mnakenua Meno lakini akina Lisa wakiwachamba kwa Ufisadi wanakuwa Wakoloni

Serikali za kiafrika bwana hazitaki kukosolewa Mugabe alikuwa akiwaua wananchi wake kwa ufisadi wa kutisha aliokuwa akiufanya yeye na watu wake karibu. Wazungu walimkosoa akawajia kuwa wanataka kumtawala na kumpangia jinsi ya kuendesha nchi matokeo tunayaona Zimbabwe hali ya maisha ni ngumu kupita kiasi.
 
acheni kupoteza muda wenu na huyo Lisa wa kuuunda, nendeni kwenye page yake yenye friends 34 tu, akiwemo mkuu wetu wa jamvi(JF), kwa akili za darasa la tatu tu, huyu rockermdee ametungwa mahususi kwa kushambulia page ya usokitabu ya JK. hizi nguvu za chadema kutunga uongo wangezitumia kufanya mambo ya msingi wangeweza kupata tu kura tudogo.
 
Huu ni upumbavu sana kutetea kunyonywa nchi yetu eti tuna haki ya kuamua kugawa vyetu. Hoja ni mufilisi sana na ndizo zimetufikisha hapa. Tunakaribisha mawazo ya kujenga yawe ya kutoka ndani au nje. Nampongeza sana Lisa kumpa vipande vyake Kikwete na wale wote ambao wanachekelea nchi yetu kunyonywa kama mazuzu.

- Well as great thinker, siwezi kwenda this low yaani kujibu this kind of thinking ambazo ni lazima ziwe enforced na matusi, pole sana bro ila samahani sana! Tumia lugha inayoweza kueleweka na Great Thinkers maana hata huyo mzungu hakutumia matusi kama yako!

William!
 
acheni kupoteza muda wenu na huyo Lisa wa kuuunda, nendeni kwenye page yake yenye friends 34 tu, akiwemo mkuu wetu wa jamvi(JF), kwa akili za darasa la tatu tu, huyu rockermdee ametungwa mahususi kwa kushambulia page ya usokitabu ya JK. hizi nguvu za chadema kutunga uongo wangezitumia kufanya mambo ya msingi wangeweza kupata tu kura tudogo.
du wewe mtu au mzuka, naona huelewi kinachoendelea duniani, u must be in hell
 
- Well unajua siwezi hata kujadili hoja za huyu Mzungu Mkoloni kwa sababu mambo ya taifa langu hayamhusu, ukimsaidia mtu msaada haina maana kwamba unamu-own, na hasa msaada wenyewe unapokuwa kama wa hawa wazungu yaani kuturudishia walichotuibia na wanachotuibia kila siku ya Mungu kwa sababu ya uwezo wetu mdogo wa kufikiri na kujiendeleza.

- Ndio maana ninasema utumwa upo wa aina nyingi sana!

William.

Kinachokuhusu ni kumpelekea kopo la saidia maskini ukifika airport unaingia mitini na pesa. Shame on you son of fisadi or fisadi himself
 
'Wazungu' wasingeweza kutuibia bila ya ushirikiano wa magavana na machifu wao akina JK , Sani Abacha et al.

- Saafi sana, lakini that is another subject of its own ninachosema hapa ni kwamba hakuna mzungu mwenye haki ya kuingilia mambo ya taifa langu, Tanzania hatuwamulii huyu mzungu nani awe Rais wao na yeye atuachie taifa letu sisi wananchi ndio tunaamua nani anatufaa nani hatufai!

William.
 
du wewe mtu au mzuka, naona huelewi kinachoendelea duniani, u must be in hell

Nenda ka google hilo jina kisha uje kuzungumza na mimi, huyo mtu anatambulika kwa facebook page yake tu na hii thread inawezekana? au una uvivu wa kufikiri.
 
Tatizo masultani wote ( including Sultani Malecela) wana wasiwasi kwamba sasa watanzania Wanaitaka nchi yao. Tunaitaka Nchi yetu Kesho
 
- Well unajua siwezi hata kujadili hoja za huyu Mzungu Mkoloni kwa sababu mambo ya taifa langu hayamhusu, ukimsaidia mtu msaada haina maana kwamba unamu-own, na hasa msaada wenyewe unapokuwa kama wa hawa wazungu yaani kuturudishia walichotuibia na wanachotuibia kila siku ya Mungu kwa sababu ya uwezo wetu mdogo wa kufikiri na kujiendeleza.

- Ndio maana ninasema utumwa upo wa aina nyingi sana!

William.

Yanamhusu kwa sana tu kwani :-
a. Wahamiaji wengi wanaenda huko marekani kwenda kutafuta maisha na hivyo kuliongezea zigo kubwa serikali ya marekani kuwahudumia. Unadhani kuna mtanzania angelienda marekani kama Bongo maisha yangelikuwa mazuri? Hivyo upungufu wa wahamiaji kwenda kutafuta maisha huko kunapunguza mzigo wa serikali yake kutuhudumia sie waganga njaa.

b. Tukiweza kujitegemea tutapunguza misaada tunayoomba kwao marekani. Binafsi hili linamhusu sana kwani pesa inayokuja Tanzania inatokana na kodi yake hivyo ana haki ya kuhoji matumizi yetu ya pesa kwa vyovyote vile. Kuhusu dhuluma walizozifanya zamani yes I could not agree with you more but nadhani hii ni argument nje mada kwani swali ni je yule dada alikuwa na haki ya kumkosoa JK au la?
 
Huwezi kutenganisha Hoja na mtu ndio maana na wewe unakwenda personal na Lisa, Ungekuwa unapenda Kujadili Hoja Ungejadili Mantiki ya Kile Lisa alichokizungumza

- Siwezi kujadili hoja ya Mkoloni kunifundisha nani ananifaa kwua Rais wangu na hasa mkoloni ambaye ni proven mwizi huko kwao Ulaya.

William.
 
Na lini utawaambia mafisadi wa thithiem warudishe pesa nyingi walizotuibia Watanzania? au huzijui? :peace::peace::peace:

- Hapa ninajadili hoja ya Mzungu kuingil;ia mambo ya ndani ya taifa langu, ninasema hapana ajali mambo ya taifa lake kwanza ya taifa langu hayamuhusu!

William.
 
- Siwezi kujadili hoja ya Mkoloni kunifundisha nani ananifaa kwua Rais wangu na hasa mkoloni ambaye ni proven mwizi huko kwao Ulaya.

William.

Ni heri Mkoloni mwizi huko kwao Ulaya Kuliko Rais Mwizi huku kwetu Tanzania
 
acheni kupoteza muda wenu na huyo Lisa wa kuuunda, nendeni kwenye page yake yenye friends 34 tu, akiwemo mkuu wetu wa jamvi(JF), kwa akili za darasa la tatu tu, huyu rockermdee ametungwa mahususi kwa kushambulia page ya usokitabu ya JK. hizi nguvu za chadema kutunga uongo wangezitumia kufanya mambo ya msingi wangeweza kupata tu kura tudogo.

Angesifia angekuwa halisi bila shaka amefanya kazi bomba. kiingereza chake si cha tanzania kwa hiyo sina shaka naye. wewe andika sentensi moja kama hakitakuwa kituko.
 
Huwezi kutenganisha Hoja na mtu ndio maana na wewe unakwenda personal na Lisa, Ungekuwa unapenda Kujadili Hoja Ungejadili Mantiki ya Kile Lisa alichokizungumza

- Siwezi kujadili hoja za Mzungu kunifundisha nani ananifaa kua kiongozi wangu Africa, ndio maana tulimfukuza bila ya yeye kupenda huku Africa Ni ili tuwe huru na tuamue mambo yetu wenyewe, kama tutaenda kumuomba msaada ni uamuzi wetu sio wake!

William.
 
Thank you lisa! Huyu mtu hana shida anawaonea huruma nyie! Lakini tunaboshana naye ti joji bush blaha blah,,,,,
 
Nimesoma na kufuatilia kwa karibu majibishano kati ya Lisa na Ernesto Sheka. Kwanza napenda nimshukuru sana ndugu Ernesto. Amembana vizuri sana huyu dada. Kwanz kuweka rekodi sahihi Rais Kikwete hakuwahi kufika DC 2005 akiwa Rais. Safari ya kwanza ya Rais ilikuwa Kampala nayo ilikuwa Feb 2006. Kwa kuanzia tu huyu dada anadanganya kuwa alionana na Kikwete akiwa Rais 2005. Pili, kama alivyosema Ndugu Malecela William hapo juu hawa akina Rockfeller histori ya utajiri wao marekani ni wa wizi na rushwa kubwa hilo halipingiki. Tatu, nina hakika hasira zake kwa serikali ya JK, zinatokana na kushindwa kupata fadhila au msamaha fulani fulani katika kuhangaika kwake Tanzania. Wao kama NGO kuna malipo fulani wanalazima kulipa ili kuendelea na shughuli zao. Sasa wao walitaka msamaha ili huku wao pia hutengeneza hela kwa kazi zao hizo hizo. Ndugu zangu hasikudanye mtu, hawa watu wa international NGOs ni binadamu kama wengine na wana mahitaji kama mishahara ili kukidhi mahitaji ya familia zao. Hakuna NGO huja Tanzani au kwingineko bila ya matarajio fulani fulanina wao hutka kupata returns zao. Samahani sana ila huyu dada namuona kama mtu aliyetaka kitu fulani akashindwa kukipata na alitaka kumtumia Rais ili apate mteremko huo lakni akagonga mwamba. NDIO CHANZO CHA HASIRA ZAKE.

Unaingia JF halafu kila unachoongea kina fulani. I will never take you seriously.

Kifupi ni kuwa mmeshindwa kujibu hoja, yeye ametoa hoja na zinataka hoja, period!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom