Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.
CCM kweli majinuni na ni dhaifu wala hawawezi kuzikabili hoja..na nina uhakika hawapo tayari kuachia madaraka kwa namna yeyote ile.
 
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.

- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!

Ahsanteni.

William.

Tujikite na hoja zake..tusiende kuchambua vitu visivyotuhusu.
 
Where are the Sensible people to see this seriously? Watanzania wengi hawaoni umuhimu wa kumvote out huyu juha hapo kesho. Nakumbuka wagagagigikoko walivyomfukuzia mbali mfalme wao Huhihuhihui kwa kosa moja tu - kupigwa na Bulicheka. Sisi watanzania maskini bado tunacheka na manyani - matokeo yake tunavuna mabua
 
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.

- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!

Ahsanteni.

William.

William, nadhani hata na wewe umefulia kisiasa kama mzee. Unamtetea Kikwete? bwana heshima zangu kwako imekwisheneeeeeey
 
Lisa,waste no time to argue wit Useful ******. The Indian fella (Thukar) in dumb not even to realise that its his party that signed minin contracts that we get only 3% in corporate taxes & enjoy tax holidays.
'm no party cadre but i tell u 4 a fact that JK is a failure. A simple question 2 JK & ccm supporters, where is Maisha Bora kwa kila Mtanzania we promised in 2005?
 
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.

- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!

Ahsanteni.

William.

William, chambua maneno yake. siyo kujibu mambo na maswali au shutuma. huyu dada anathubutu kweli, Kikwete watu wammemchoka, tuambie kwa nini siyo hivyo. kama hauna hoja kula kona
 
Nimecheka wee hadi basi, nimeona comment za wabongo na kiswahili chao cha "ugoko" eti wanatetea ujinga, nimekumbuka enzi zile za mapanki woote wakakataa kwamba si kweli!!! MMH ya NGOSWE....
 
Nimecheka wee hadi basi, nimeona comment za wabongo na KINGEREZA chao cha "ugoko" eti wanatetea ujinga, nimekumbuka enzi zile za mapanki woote wakakataa kwamba si kweli!!! MMH ya NGOSWE....
 
Wale mlioko FB mwambieni Lisa aendeleze mechi huku JF kwa wanamapinduzi where we do dare to talk openly.
 
aaah wamemblock but at JF we are always smart

Lisa M Rockefeller All Tanzanian's both in and outside the country, please take a phone call one or two of your family members, let them know their vote counts, and they should send the message to all they know that Kikwete does not deserve a second chance, dont be intimidated, your ballot power is more powerful than their tear gases. i have just recived a text from a friend in Mumbeya that, they have been tear gased. this it the family that kept me in Tanzania, and their son locked up

You can visit facebook http://www.facebook.com/Kikwete/posts/158051814231488

Lisa M Rockefeller as part of my mission work, I was in Tanzania, that was back in 2003. I was in Mbeya for 6 months. A loaf of bread was Tsh. 300, today same loaf is Tsh 900, what gain can he claim or how has he helped the country? USD1 was Tsh. 475 today 1USd is Tsh. 1500, C'mmon dude, you know better than that. Your candidate has delivered -35%; meaning he has driven Tanzanian economy into negative territory -35% about

Lisa M Rockefeller ‎@Thakur, keep up your hard work, but know that. even if you are in the manufacturing industry, as much as he is destroying your country, you may end up finding you worked for nothing all of your life. Look at Zimbabwe, there are people who owned so much, but at the end of the day ownded nothing because Mugabe destroyed their future. He is no different from Kikwete, the only difference is that, Mugabe is brilliant and Kikwete is "dummy"

Lisa M Rockefeller ‎@Rasel, dont quote my family. Quote me as an activist, wanting good for the Tanzanian people. Where is Bush, where is Obama they are soon becoming history, Americans know what best for them. once you screw up, no second chance. Kikwete plays too much, how can a president tell you something in the audience and when you see him he smiles at you like a little baby? Head of State? Please !!!!

Lisa M Rockefeller All Tanzanian's both in and outside the country, please take a phone call one or two of your family members, let them know their vote counts, and they should send the message to all they know that Kikwete does not deserve a second chance, dont be intimidated, your ballot power is more powerful than their tear gases. i have just recived a text from a friend in Mumbeya that, they have been tear gased. this it the family that kept me in Tanzania, and their son locked up
 
Tunamkaribisha Lisa huku aje kuendeleza mapinduzi yetu Tanzania maana ni mmoja kati ya wazungu wachache wanaofahamu nini kinaendelea Tanzania. Nimecheka CCM wamemban Lisa ikisha wamedelete comments zake zote hahaha kazi ipo mwaka huu
 
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act....

TWO WRONGS don't make it RIGHT
 
Jamani ujumbe wake ufikishwe chadema na kwenye media. Pia ikiwezekana tumwalike lisa hapa jamvini atupe ukweli wote. Inauma sana
 
Tunamkaribisha Lisa huku aje kuendeleza mapinduzi yetu Tanzania maana ni mmoja kati ya wazungu wachache wanaofahamu nini kinaendelea Tanzania. Nimecheka CCM wamemban Lisa ikisha wamedelete comments zake zote hahaha kazi ipo mwaka huu
Bwe he he ..mie menyewe nimecheka mpaka basi. Wasimblock mchezo? vilaza na wachumia tumbo..
 
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.

- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!

Ahsanteni.

William.

Kaka naandika kukujibu... Huku natetemeka... mdogo wako Ipi angekuwepo angekuwa amekwenda upinzani... Tena CHADEMA!!! CREDIBILITY YAKO IMESHUKA KAMA ... JCM...
 
Wakoloni mamboleo hatuwataki na wala hatutawapa nafasi kutuchagulia viongozi. Sisi tuna akili zetu tunapima mambo na kila kauli ya mtu, ki msingi viongozi wetu tutawachagua wenyewe si kwa mashinikizo
 
Huyu mhisani mmoja tu kati ya wafadhili wenye uchungu na taifa letu lakini katoa madongo mazito,kumbe JK wanamsuta na ukiona hivyo wamemchoka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom