Lipustikina kipodozi haviondoi uchafu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Mdada anapiga kipodozi , anajikarabati hadi anajiharibu, lakini bado anatoa harufu.
Ivi inakuaje??.
 
Halafu kuna mavipodozi wakipaka mm huwa natapikaga!si waoge tu wajipake Rays au Vaseline mbona watapendeza tu.
 
Halafu kuna mavipodozi wakipaka mm huwa natapikaga!si waoge tu wajipake Rays au Vaseline mbona watapendeza tu.

Na mi nawashangaa, unajua wangekua wanatuuliza wanaume tungewapa bonge la ushauri. mwingine utakuta ni mweusi kama mie hapa lakini kaweka pinki mdomoni, tena kapaka tu bila hata ujuzi wowote, kucha ndefu kama za kware kapaka rangi nyekundu hata bila utaratibu. jamani huo si uchafu kabisa.
 
Back
Top Bottom