Lipumba ulidanganywa na CCM ukaingia mzima mzima,sasa CUF inazikwa ikiwa hai!

Ruzuku haiwezi kuathirika maana huwa inategemea na kura za urais… labda hapo 2020. Kwa sasa ataendelea kula ruzuku kwa sana
Kura za urais ni mojawapo,ila kwakuwa CUF haikuwa na mgombea urais 2015,basi wanategemea idadi ya wabunge wa kuchaguliwa kupata ruzuku!
 
Uliwaona CCM ni jamaa zako,ukakisaliti chama,haikutosha ukarudi kukibomoa kwa kulazimisha uenyekiti!

Sasa rukuzu zinaenda kupukutika!Umekimbiwa na viongozi wenye ushawishi ndani ya CUF!
Uliijenga CUF kwa miaka mingi,ukaingizwa mkenge na kuibomoa kwa muda mfupi!
Sasa pambana na hali yako,najua umeijua rangi halisi ya CCM!

Mwenye kosa kwa Prof Lipumba kawa na nafasi ndani ya CUF ni Maalim Seif kwa kutokumfukuza UANACHAMA wa CUF mwezi ule ule alipokimbia na kuwaacha wanajeshi wa CUF vitani wakati wa kampeni za Urais, Ubunge na Udiwani Octoba 2015!!!! Alipokimbia vita kesho yake ilikuwa afukuzwe UANACHA WA CUF lakini Maalim Seif alimuana Prof Lipumba ni hazina na lulu kwa chama cha CUF, bila Lipumba hakuna CUF!!!!!!!! Kwa hiyo waache kulialia, waache kimsema Prof kwani ni hazina, waache kumlaumu kwani hana kosa hata dogo, ni mchapakazi, mwelewa, mwerevu, mpambanaji mzuri ambaye kwake hakuna ‘FAILURE’! I stand to be corrected if I am wrong.
 
Mchapa kazi gani aliyekiacha chama vitani kwa vipande 30 vya fedha?Mwerevu gani aliyehongwa kurudisha vurugu kwenye chama?CCM ilishtuka sana baada ya Seif kushinda zanzibar 2015,wakaona walifanya makosa kuingia kwenye uchaguzi na chama ambacho walikiunderestimate!Wakaona hawatafanya makosa hayo tena,plan ikawa kukisambaratisha kabisa!Wakampata wa kumtumia,naye ni Lipumba!Wakamrejesha,kwa msaada wa Msajili wa vyama vya siasa,wakamtambua kama mwenyekiti!Akawafukuza wabunge wote viti maalum CUF,kesi ikiwa mahakamani na spika akiwa india kutibiwa mambo yalifanyika ndani ya siku 3 kumwezesha lipumba kuivuruga CUF!
1.Day 1:Lipumba aandika barua kwa spika kuwafukuza uanachama wabunge wa viti maalum!
2.Day 2:Spika aridhia akiwa india na kumwandikia barua msajili kuwa nafasi hizo ziko wazi
3.Day 3:Msajili atangaza majina mapya ya wabunge viti maalumu CUF yaliyopelekwa na lipumba!

Ukiona trend hiyo,utajua Lipumba alikuwa akitumiwa kuivuruga CUF!
Hata mahakama ilipozuia ruzuku,Msajili aliendelea kumpa lipumba!Ikabidi mahakama iandikie barua Bank zote kuzuia fedha kutoka kwenye akaunti za CUF!!

Leo CCM wamemtelekeza baada ya kuichanachana CUF!
 
Lakini kesha komba mabilioni ya ruzuku ambayo yatamuwezesha kuishi maisha yake yote mpaka kufa na chenji kubaki pamoja na yule mama wanayeshirikiana naye. Wale hawapo pale kwaajili ya chama wapo kwaajili ya kukomba pesa zote huku wakisaidiwa na serikali kupitia kwa msajili hivyo chama kitakapo kufa wao watakuwa wamebaki na mkoba au lumbesa ya ruzuku ya chama.
Dhambi ya usaliti nayo itawaacha???
 
Maalim Seit nae yupo mbion kuhama kuelekea chama kidzigo zaid Kule Visiwani
 
Uliwaona CCM ni jamaa zako,ukakisaliti chama,haikutosha ukarudi kukibomoa kwa kulazimisha uenyekiti!

Sasa rukuzu zinaenda kupukutika!Umekimbiwa na viongozi wenye ushawishi ndani ya CUF!
Uliijenga CUF kwa miaka mingi,ukaingizwa mkenge na kuibomoa kwa muda mfupi!
Sasa pambana na hali yako,najua umeijua rangi halisi ya CCM!
Hata ikifa bado anakula posho yake kitengoni hapo kuwafundisha vijana uchumi.huyo ni agent.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom