Lipumba: Sikubaliani na baadhi ya maamuzi yaliyofanyika ndani ya CUF!

Kukubaliana au kutokukubaliana kwake na maamuzi yaliyofanywa kusingeweza kubadilisha chochote. CUF KIMEKUFA NA HAKITAFUFUKA TENA.
 
Masikini HR umechinjiwa baharini!!!!!!!!!! Na media hazikutaki tena! Kashitaki kwa Pinda!

Haya ninyi zinazowataka full squad mko page ya tano ie: sultan,prof & juha ilhali Kule mlikokimbia kissa bajeti muihamishie kwenye mapokezi ya prof......arumeru kina prof. Majimarefu na Nasari full kujiachia front page.
kalagabaho.
sisi tunasubiri jukwaa tu utaona mambo......Again R.I.P CUF
 
Back
Top Bottom