lipumba kuwa best economics profesa duniani mbona maprofesa wa wakimbongo hawamsifii

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
jamani nimesikia kuwa profesa ibrahim lipumba amechaguliwa kuwa ni profesa bola wa uchumi duniani amechaguliwa na umoja wa kimataifa huko marekani na kupewa jukumu la kusimamia uchumi wa dunia lakini nashangaaa hawa maprofesa wa uchumi toka vyuo vikuu hawamzungumzii wala kumsifia na hata vyombo vya habali hawatangazi habali zake yupo wapi dk.bana .....
 
Acha uzumbukuku wewe, atachaguliwa kuwa mchumi bora duniani amefanya kitu gani cha ajabu, na amechaguliwa kwa kigezo kipi? Hizo ni propagabda za CUF; pengine ajitahidi aiwezeshe CUF ijitegemee isiweinategemea kodi zetu kwa kupewa ruzuku!!
 
Tutaona kama ataitumia hiyo title mpya kuwarudisha kundini akina Said Miraj...

Huku Bongo Lipumba is a classic example of failure, mwenyekiti wa chama kiko katika mgogoro unaotishia uhai wa chama lakini bado anakimbizana na posho za wazungu badala ya kurudi bongo kumaliza mgogoro au kudelegate power
 
Acha uzumbukuku wewe, atachaguliwa kuwa mchumi bora duniani amefanya kitu gani cha ajabu, na amechaguliwa kwa kigezo kipi? Hizo ni propagabda za CUF; pengine ajitahidi aiwezeshe CUF ijitegemee isiweinategemea kodi zetu kwa kupewa ruzuku!!

Hawezi kuiwezesha CUF coz tayari chama hichi ni maiti iliyoanza kuoza.
Lipumba kaja kuzika mzoga wake.
 
kama mtu anapata phd bila kuandika thesis unategemea atatambua mchango wa akili ya watu wengine? Watu siku hizi wanapewa uprof kwa kugawa k, kuwa ccm, unadhani wataongea chochote? Hii ndo tanzania,mafanikio yote yapo vitabuni. Akijitokeza mtu akaonesha mafanikio ya kwenye field watajitokeza wengi wa kumpinga na kumkosoa. Kuna watu mi nasikiaga ni maprofesa lakini sioni chochote walichochangia kwenye mabadiliko ya hicho walichosomea
 
jamani nimesikia kuwa profesa ibrahim lipumba amechaguliwa kuwa ni profesa bola wa uchumi duniani amechaguliwa na umoja wa kimataifa huko marekani na kupewa jukumu la kusimamia uchumi wa dunia lakini nashangaaa hawa maprofesa wa uchumi toka vyuo vikuu hawamzungumzii wala kumsifia na hata vyombo vya habali hawatangazi habali zake yupo wapi dk.bana .....

Duh nasikia amepewa hadi tuzo ya Nobel kwenye mambo ya uchumi....wabongo bana..!
 
mbona kashindwa kuishauri nchi yake au ndo yale mambo ya nabii hakubaliki kwao..
 
best uchumist, nobeli....!!
Kafanya nini?
ana mchango gani kwa nchi yake?
maprofesa wa bongo watamsifia kwa lipi ambalo hata sisi wananchi hatukioni.

Mi namjua Lipumba kama mgombea failure wa Urais kupitia CUF mwaka 1995, 2000(cuf ngangari), na 2005, 2010(cuf mwafaka).
 
daaaah then tunajiuliza mchawi yukwapi...wachawi n sisi wenyewe,mzungu anakuja anachukua kilicho bora anaenda kutumia kwao nyie mnabaki kupga majungu 2....mfike mahari pa kujua kutenga siasa na UJUZI/UTAARAM wa m2,siasa ni adui wa kwanza wa maendeleo kwa wenye akili mgando....ameenda kurepreznt tanzania not cuf,
 
namchukulia lipumba kama box lililo na lebel nzuri lakin halina kitu, kama mchumi hana hata kitabu kwa maana vyuon vitabu ving ni vya uchumi wa marekan hana jipya huyo hafai kabisa nchin kam msomi
 
Duh kweli nimeamini kiwango cha ujinga bongo kipo juu, mtu upo kwenye computer hapo unashindwa ku google unaleta habari za vijiweni humu, haya google hili jina Prof.Ibrahimu Haruna Lipumba halafu utoe source ya hayo unayosema.Wakati mwingine naona kuna watu hawastahili kuwemo humu kwenye jukwaa la great thinkers
 
Back
Top Bottom