Lipumba kumpa Kikwete ilani ya CUF ni dharau kwa CCM

mzozaji

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
255
13
Wadau nimeipenda hii ya Lipumba kumpa JK ilani ya CUF eti iwasaidie kuchukua mambo! Wao CCM wanayo ya kwao na Lipumba anajua hilo ila Prof kwa ujanja aliitoa ili kuonyesha kuwa CCM hawana sera za maana wajifunze kuweka sera za kunufaisha taifa. That was a smart move.
 
watapata wapi ilani ya kulijenga taifa zaidi ya ile ya kwao ya kuliibia taifa?
huo ni ukweli kabisa tena ilani yao imejaa majungu, visa na mashairi ya taarabu
 
Nilikuwa maeneo ya posta leo mchana muda mfupi kabla ya mshindi kutangazwa UKWELI watu hawakuvutiwa kabisa na Ushindi wa CCM HATA Magari yao yalipopita yalizomewa na kulikuwa hakuna mwamko kama wa miaka mingine.

Waandishi wajanja kesho mtuletee idadi ya wataohudhuria kuapishwa tulinganishe na miaka mingine. NAJUA NA HII MTACHAKACHUA NYIYI WAANDISHI. Ni wazi CCM haina mvuto tena na haina la kufanya isipokuwa kuomba support ya wapinzani ,Ilani za upinzani ni nzuri na ni vyema zifanyiwe kazi na zile za CCM.

Watu hawana matumaini Presha zinaojengeka siku ziendavyo.Serikali kwa umoja wake ifanye kitu cha kweli bila unafiki. Vinginevyo 2015 ni mashaka.
 
Usiwe na hofu, wakiona kwamba watahudhuria watu wachache watawasomba watu kwa malori
 
Nilikuwa maeneo ya posta leo mchana muda mfupi kabla ya mshindi kutangazwa UKWELI watu hawakuvutiwa kabisa na Ushindi wa CCM HATA Magari yao yalipopita yalizomewa na kulikuwa hakuna mwamko kama wa miaka mingine.

Waandishi wajanja kesho mtuletee idadi ya wataohudhuria kuapishwa tulinganishe na miaka mingine. NAJUA NA HII MTACHAKACHUA NYIYI WAANDISHI. Ni wazi CCM haina mvuto tena na haina la kufanya isipokuwa kuomba support ya wapinzani ,Ilani za upinzani ni nzuri na ni vyema zifanyiwe kazi na zile za CCM.

Watu hawana matumaini Presha zinaojengeka siku ziendavyo.Serikali kwa umoja wake ifanye kitu cha kweli bila unafiki. Vinginevyo 2015 ni mashaka.

Watachakachua tu, Makamba lazima aagize malori kusomba watu kama ilivyokuwa wakati wa kampeni.
 
Watachakachua tu, makamba lazima aagize malori kusomba watu kama ilivyokuwa wakati wa kampeni.
Watapeleka wanajeshi na Polisi waliovalia kiraia kuujaza uwanja. Unajua Jeshini ni kutii amri tuu hakuna kingine.
 
Wadau nimeipenda hii ya Lipumba kumpa JK ilani ya CUF eti iwasaidie kuchukua mambo! Wao CCM wanayo ya kwao na Lipumba anajua hilo ila Prof kwa ujanja aliitoa ili kuonyesha kuwa CCM hawana sera za maana wajifunze kuweka sera za kunufaisha taifa. That was a smart move.
....ndio maana alisema pia "Ningelianza na HAKII..., lakini kumbe hapa si mahala pake!" lilikuwa dongo jingine kwa wanaccm, pia imedhihirika jana kuwa CCM hawana uvumilivu hata chembe na ustaarabu pia, kwani wao wakati Profesa anawapa mustakabali wa taifa wao wanamzomea sijui TATIZO NI USHABIKI au ndo YALEYALE:thinking: mmojawapo nilimuuliza "vipi umesikia alichosema Profesa?" unajua alijibuje? "...sijamsikia nilikuwa nashangilia USHINDI!!!!!!!!!!!!"
 
Hii ya Lipumba ni muendelezo wa muafaka kati CUF na CCM; anampa Kikwete hiyo ilani aifanyie kitu gani? Hili ndio tatizo la hawa waganga njaa Lipumba yupo kwa ajili ya pesa za ruzuku si mpinzani.
 
ivi chadema ndio wapinzani kama kweli ni wapinzani hakuna hata mchadema mmoja aliyeguswa hata shati na serikali ya ccm kama ni wapinzani kweli?
 
Back
Top Bottom