mzozaji
JF-Expert Member
- Jul 28, 2010
- 255
- 15
Wadau nimeipenda hii ya Lipumba kumpa JK ilani ya CUF eti iwasaidie kuchukua mambo! Wao CCM wanayo ya kwao na Lipumba anajua hilo ila Prof kwa ujanja aliitoa ili kuonyesha kuwa CCM hawana sera za maana wajifunze kuweka sera za kunufaisha taifa. That was a smart move.