Lipumba: Inakuaje Syria wanapigana vita lakini wanatuzidi kwa furaha?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Profesa Lipumba ameshangazwa na ripoti iliyotolewa na umoja wa mataifa ikitaja Tanzania kuwa nchi ya 3 kutoka mwisho kwa furaha huku ikipitwa na nchi kama Burundi na Syria
Amesema hii ianaonyesha tupo katika hali mbaya sana ya maisha hadi tunapitwa na nchi zenye vita
 
Lipumba naye anakuwa kama siyo Mchumi bhana, hivi anajua hata takwimu hufanya vp?
 
Hapo ndo tujue wazungu hawafurahii hatua za kimaendeleo tunazopiga.....wao wana target Tanzania kutugombanisha na kutufarakanisha.

Watu kila kukicha mabomu wanakimbia wanaliwa na mamba maziwani wakikimbia vita...wanadumbukia kwenye bahari ya Mediteranian wakikimbia nchi zao eti leo wanafuraha kwenye nchi zao kuliko sie tulio na amani....

Mwenye akili na macho na aone...hawa wanamaanisha kuwa tupigane kama Syria, Iraq na Afghanistan ndo tutakuwa na furaha.....upuuzi mtupu. Hawa ambao tunazuia madini yetu kusafirishwa nje ya nchi hawawezi kutuongelea vizuri kamwe....wataungwa mkono na wale wote wasioitakia mema nchi yetu
 
Kwani moja ya watu wanaofanya tusiwe na furaha si ni pamoja na yeye,mambo anayoyafanya yanaendana na furaha kwa watanzania
 
Profesa Lipumba ameshangazwa na ripoti iliyotolewa na umoja wa mataifa ikitaja Tanzania kuwa nchi ya 3 kutoka mwisho kwa furaha huku ikipitwa na nchi kama Burundi na Syria
Amesema hii ianaonyesha tupo katika hali mbaya sana ya maisha hadi tunapitwa na nchi zenye vita

ripoti inaonyesha kitu kimoja tu. ni ripoti ya kupika. kwa ujinga wetu tumejijengea utamaduni wa kuamini umoja wa mataifa wakati dola kubwa ndio wanaendesha mambo kwa faida yao. ni wakati sasa kwa wizara kua zinatangaza kukataa baadhi ya taarifa za umoja wa mataifa.
 
maporopesa kama yeye ndo wanatuondolea furaha yani jitu limesoma weee ila upeo kama bashite
PhD feki na vyeti feki vya wasukuma wawili ndivyo kiini cha kukosa furaha pia Udikteta umechangia zaidi hasa ukizingatia kipato kwa watu wa hali ya chini kinatisha sana.
 
ripoti inaonyesha kitu kimoja tu. ni ripoti ya kupika. kwa ujinga wetu tumejijengea utamaduni wa kuamini umoja wa mataifa wakati dola kubwa ndio wanaendesha mambo kwa faida yao. ni wakati sasa kwa wizara kua zinatangaza kukataa baadhi ya taarifa za umoja wa mataifa.
Kuwabambikia watu kesi, Uchumi kuwa mbovu, Udikteta, vitisho kwa vyombo vya habari ndoa haramu ya wasukuma wawili wanaotawala Nchi kikoloni ndiyo kiini cha watanzania kukosa furaha
 
Back
Top Bottom