Lipumba hachomoki kwa ushahidi huu; aliyepigwa ni mmoja wa walinzi aliopewa

Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
Wewe hujui mziki wa wananchi
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
ukishaingia mikononi mwa wanachi haijalishi we ni nani
 
Kuna watu wengine wanaosemekena kuwa ni usalama wa taifa wamekaa zaidi kama majambazi kuliko huo usalama wa taifa
 
Huyu inabidi aaikabidhiwe kwenye vyombo vya sheria maana kule wanafahamu ukweli wote. Walijaribu kutengeneza bongo movie lkn imedunda kisa director wabovu. Hapa kinachotakiwa tuunde usalama wa wananchi na tumshughulikie mpaka ataje wenzake huyo yani kwa siku anakatwa kidole kimoja bila ganzi, siku nyingine unang'oa nywele za korodani kesho yake unavuta kucha ya kidole kimoja hakika atasema na atataja.

Hakuna Vyombo vya sheria vyote viko chini ya " I wish I could be the IGP" anafikiri kwa kumlinda Lipumba na genge lake ataua upinzani yes for some time but not for ever. Mimi sio mshabiki wa vyama vya upinzani kwani vyote viko kwa hisani ya CCM. Makosa na tamaa ya haraka haraka ya kujiita wapinzani yalifanyika 1992, ile sheria ya vyama vingi vya siasa ilikuwa ni ulaghai and most of the early parties were designed by C.C.M . Hakuna tofauti na vyama 50 alivyoanzisha marehemu Mobutu Sessesko kule Zaire now DRC. Bila kuwa na sheria serious out of a well designed policy kinachofanyika ni sanaa Fulani hivi inayoitwa vyama vingi vya siasa. Kutoka state party kwenda multi party palihitajika sheria mama mpya nina maana katiba mpya ambayo ingeweka a plain level field for political parties. It didn't and doesn't make a lot of sense to dream of meaningful changes designed by TANU which changed its name to CCM which had by then 38 years political experience as a state party to go toe to toe with parties conceived in 1992. Kwa hiyo akili ku mkichwa wadanganyika enedleeni kujidanganya kwamba kuna kitu kama vyama vingi hapa Tanzania Katiba haidaiwi kwa kubembeleza inatakiwa ikibidi pachimbike otherwise CCM itatawala as long as it wishes ndio maana hata kule unguja na Pemba wanasema serikali huishiki mpaka umwage damu hakuna cha CUF wala cha Ndevu. Back to the story huyo mlinzi sijui bawabu wa Lipumba matasikia kwenye bomba tu mbona yule wa Bashite alionekana na hakuna cha Mangu wa Mwigulu who both happen to come from Singida but the later ana asili ya ukwere hakuna walichofanya as long as DCI and DPP ni ndugu moja nahene kwa kujidanganya kwamba Mwenyekigoda ni ngosha hakuna wa kumfunga kamba kengele?
 
Watanganyika wameamua kuwadhibiti hawa usalama wa taifa..yule wa Nape kidogo kitenge amvunje mbavu..huyu kanyofolewa uboho wa goti.. ndio dawa yao hawa wapuuzi
Kitenge hana ubavu wa kumvunja mbavu yule jamaa. Si uliona alitumia maneno tu. Isingekuwa kuna cameras kitenge angepigwa ngumi!
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
We unaongea tuuu,,one mistake one goal,,wanakufa makomandoo na ndo wameiva kwenye idara zote sembuse usalama wa taifa,,ambao wao ni wazee wa intelijensia lakin kwenye fighting sio kivile,,,,,hiyo ajali kazini,,na ukiua kwa upanga na ww utauawa kwa upanga malipo ni hapa hapa duniani,,kwanza ilipid wanachi wamzimishe kabisa
 
Mkuu kwenye hilo tukio kuna footage ya huyo jamaa akijilinda?Mimi sishabii watu kuvuruga shughuli halali za vyama vya Siasa.Na wala watu wasifikirie ni CCM.Mimi sio CDM wala CUF.Mimi ni Mtanzania ambaye chama changu ni Haki Na ustawi wa Taifa letu.Ninachokataa ni watu ku-label huyo jamaa kama mtumishi wa Idara.Kweli wako watumishi wa Idara ngazi anuai lakini mtumishi wa Idara wa kuweza kuchomolewa akamlinde Lipumba sio mtu wa level ya kupewa kisago kiasi hicho Na asiache hapo maiti za watu kadhaa.

Kwa ninavyojua silaha ya kwanza ya mpiganaji makini anayepambana na kundi la watu ni kukimbia. Utapigana umati huo vipi wakati wanakupopoa mawe??
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
Kweli kabisa aisee
 
ukik

unaijua nguvu ya wananchi wenye hasira kali
 
Uongo mtupu...
Binadamu wawiliwawili...
Mie mwenyewe nafanana na Mbowe..
Mpaka nimezoea kuitwa Mbowe...
 
Weee Unacheza na Mob justice unasalimu amri hata kama wewe ni komando, nvua ya mawe ina cha usalama wa nini? usalama ni kujisalimisha

Duh!Umenifanya nicheke.Usalama wakati Maisha yako kwenye hatihati.Ni rahisi sana kumjeruhi Binadamu mwenzako lakini ikawa kilio na kusaga meno ikiwa zamu ya kujeruhiwa imekufika.

Ukitaka kujua sindano inauma,mwambie daktari au Nurse achomwe sindano utasikia kelele na malalamiko.
 
Nyerere nchi yako imeharibiwa. Ulivyovianzisha vyote sasa vinatumika ndivyo sivyo. Siamini kama Tanzania tungefika hapa tulipo!
 
Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia maneno ambayo sikuyaamini hata kidogo lakini leo naanza kupata picha fulani hivi. Aliniambia "Mwanangu Wazungu siyo watu wazuri kwetu sisi Waafrika. Ukienda kusoma kwao, ama kufanya kazi, wakiona kitu kikubwa ndani yako ambacho kinaweza kuleta mabadiliko Afrika lazima watakuharibu. Wanaweza kukufanya kuwa mlevi wa kupindukia ama ukaharibiwa kizazi ili uzao wako usiwepo Afrika." Nikikumbuka ya Prof. Machunda aliyekuwa Prof. mbobezi wa kilimo na huyu sasa mbombezi wa uchumi nabaki na mashaka makubwa.
 
Usalama wa siku hizi nahisi huwa wanachukuliwa Gyms. Akikutwa mtu kajazia kwa kunyanyua vyuma Basi huyo anachukuliwa bila kujali mafunzo mengine. Zamani Hawa watu walikuwa highly trained huko Yugoslavia, Checkoslovak , USSR na China. Ndiyo maana mtu anakosa ethics za kazi na kuchomoa bastola ovyo ovyo mbele ya kadamnasi
Ethics zinakiukwa,enzi zile tulisikia wenye passmark ya juu katika masomo shuleni na vyuoni walikuwa wanaingizwa Kikosi cha Inteligensia ninyi siku hizi mnakiita Usalama wa Taifa,sifa/kazi yao kama neno lenyewe ni wenye bongo zinazochemka au IQ kubwa,wakubuni au kutenda jambo au mambo kwa ufanisi mkubwa mno.
Ila wale wenye akili za kawaida lakini wana uwezo wa kazi za kiaskari ndio sisi tumewazoea kuwaita usalama wa taifa.ndio hizo security services.
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
Umma kama ule hauathiriki na umahiri kimafunzo au ukamandoo. Pale angekuwa Bruce Lee,Terminator ,Rambo au hata wewe kuwa jasiri kuhimili kipigo kitakatifu.cha mawe,,mateke, magongo.
Kweli ukipenda - chongo huona kengeza basi hata hili
 
Back
Top Bottom