Lipumba asema Maalim Seif amewasaliti Wazanzibar na watanzania. Adai kuacha chama sio suluhisho

Akiongea na DW Swahili mwenyekiti wa CUF kitendo Cha Maalim selif Shariff Hamad kuamia ACT Wazalendo Ni kuwasaliti Wazanzibar na wantazania kwa Ujumla kwa sio suluhisho la matatizo yaliyopo.

=====

Prof. Lipumba: CUF bado iko imara, Maalim Seif hana jema
Nchini Tanzania gumzo kuu lingali likiangazia hali ya kisiasa kuanzia uamuzi wa mahakama kuu kumtambua Prof. Ibrahim Lipumba kama mwenyekiti wa chama cha CUF Prof Ibarahim Lipumba ambaye anasema bado wako imara.

Prof. Lipumba: CUF bado iko imara, Maalim Seif hana jema | DW | 20.03.2019
Sent using Jamii Forums mobile app
Laana zingine huanzia kwenye majina hebu tutafute kirefu cha jina Limpumba kwanza mi nahisi wazazi wake walilifupisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laana zingine huanzia kwenye majina hebu tutafute kirefu cha jina Limpumba kwanza mi nahisi wazazi wake walilifupisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lipumbavu kwanza siyo Raia wa Tanzania yeye alitokea Congo akakulia Tabora na kisha kujipenyeza kijanja kwenye upinzani, CCM kingekuwa chama kitenda haki na makini wasingekubali kuhangaika kumlea kumgharamia profeselii mjinga mjinga mbumbumbu zuzu juha Lipumba.
 
60% ya ndugu zake Profeselii mjinga mjinga Lipumba wapo nchini Congo na wengine 31% wapo Rwanda kwa Tanzania ndugu zake ni kama 9% tu ni wachache sana, ingawa CCM ni ukoo wake wa kufikia baba yake wa hiali hata Jaji mutungi msajili wa vyama sasa ni Mwanafamilia na mwana ukoo wa Lipumba hata ruzuku waliyopora kuiba sasa wamegawana, Raia wa Congo analindwa na CCM kisa ni kirusi cha kudhoofisha upinzani kwa ujumla.
 
Lipumba a.k.a profeselii wa Olijino comedy ndiye kiongozi wa Siasa pekee huchukua ruzuku yote bank kwa wakati mmoja kisha kugawana na msajili mkuu wa vyama vya Siasa pamoja na Jaji wa mahakama iliiyomsaidia kupora chama cha CUF kienyeji kwa vifungu binafsi vya jaji na maelekezo toka juu kwa mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite.
 
Kwa hili Prof Lipumba amelikoroga tena sana amesababisha migogoro CUF mwenyewe Msaliti ni yule anaye sababisha migogoro 2015 alisema amesiaafu siasa na kujiuzulu uwenyekiti wa CUF kumbe alifanya hivyo kwa mikakati maalum hiyo mikakati maalumu ndiyo ime sababisha migogoro CUF ''He is fooling us around''

Sasa yeye Sakaya, msajili wa vyama jaji mutungi, yule jaji wa mahakama iliyomsaidia kupora chama cha wanatafuna Ruzuku kwa speed radi na Boing Max 8 ni wizi wa ruzuku ya CUF umepamba moto sasa
 
Akiongea na DW Swahili mwenyekiti wa CUF kitendo Cha Maalim selif Shariff Hamad kuamia ACT Wazalendo Ni kuwasaliti Wazanzibar na wantazania kwa Ujumla kwa sio suluhisho la matatizo yaliyopo.

=====

Prof. Lipumba: CUF bado iko imara, Maalim Seif hana jema
Nchini Tanzania gumzo kuu lingali likiangazia hali ya kisiasa kuanzia uamuzi wa mahakama kuu kumtambua Prof. Ibrahim Lipumba kama mwenyekiti wa chama cha CUF Prof Ibarahim Lipumba ambaye anasema bado wako imara.

Prof. Lipumba: CUF bado iko imara, Maalim Seif hana jema | DW | 20.03.2019
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipumba ndiye mwanasiasa mjinga kuliko woote Duniani
 
Lipumba 2015 alikuwa sawa na askari aliye kimbia vita ambaye dawa yake huwa ni kuuwawa, na kifo cha Lipumba ni kuachwa CUF peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom