Lipumba - Anayewagawa Watanzania hatakiwi CUF! (Mbona Jussa yupo?)

Kila siku tumezoea kusoma na imekuwa kawaida kwako kutumia misemo kama "sisi", "Waislamu" n.k. Hivi nikuulize, una maana gani haswa na kauli zako kama hizi? Ni nani alikuteua au kukupa mamlaka ya kuzungumza on behalf ya hao "wengine" kupitia kauli zako kama unavyojifanya kwenye michango yako? Ni Mke, familia au labda basha lako?

Hayo maswali je ni lazima kuyajibu?
 
Tanganyika mgawanyiko ni mkubwa sana, mikoa ya pwani watu wake ni maskini sana na hawana elimu ya kutosha, na waislamu wanalalamika wanaonewa na mfumo kristo. huu kama sio mgawanyiko wewe unaupa jina gani?

fanyeni kazi kwa bidii somesheni watoto wenu especially wakike muone kama hamtaondoka kwenye umaskini, wenzenu wanasomesha watotoweao nyie mnawaoza halafu unategemea umaskini utaisha wapi wakati mama hajasoma akiachwa au kufiwa na mme hawezi hata kulisha watoto wake pelekeni watoto shule msitafute mchawi
 
Tanganyika mgawanyiko ni mkubwa sana, mikoa ya pwani watu wake ni maskini sana na hawana elimu ya kutosha, na waislamu wanalalamika wanaonewa na mfumo kristo. huu kama sio mgawanyiko wewe unaupa jina gani?

Mfumo Katoliki.
 
Haki sawa kwa wote itawezekana vipi kama mtu anashinda kwenye baraza la msikiti kuanzia Alfajili mpaka saa 2 usiku!..... halafu mimi ninayefanya kazi kwa bidii na kupeleka watoto wangu shule sijui ni usawa gani hapo unaouzungumzia wewe.

Mfumo katoliki ndio unaokusaidia wewe.
 
wewe unajidai tu hufahamu na kuleta kejeli kwa waislamu..

Mimi huwezi kuni-provoke kwa hizo maneno niko above that..

Kwasababu nilianza kusikia hizo ngojera toka nikiwa sekondari..

Waislam Tanzania wana hoja kama ni mpenda haki na mpenda amani utakaa chini nakufanya analysis, ili kama taifa tusije ingia kwenye matatizo..

NB. Kejeli zako hazizuii tatizo ila waislam wanazidi kuwa imara na kuwa wanaharakati day by day..iko siku haki sawa kwa wote itapatikana kwa shari au kwa amani..

100% wala si muda mrefu. Very soon.
 
Uzuri haya unayaongelea beyond the keyboard, nenda front ukakutane na lile rungu lililoandikwa MAMA MKANYE MWANAO!.......By the way nashukuru kwa kunifumbuwa macho kwamba CUF ni chama cha waislamu ndio maana slogan yenu ni moja HAKI SAWA KWA WOTE.

Na CDM vipi Mkuu? Chama cha akina nani? Vatikan au....... Kama huyajui kayaulize, mbona sio siri.
 
Kila siku tumezoea kusoma na imekuwa kawaida kwako kutumia misemo kama "sisi", "Waislamu" n.k. Hivi nikuulize, una maana gani haswa na kauli zako kama hizi? Ni nani alikuteua au kukupa mamlaka ya kuzungumza on behalf ya hao "wengine" kupitia kauli zako kama unavyojifanya kwenye michango yako? Ni Mke, familia au labda basha lako?

Haya unayosema sawa na jina lako DUDE. Haaaa haaaa. Eti mtu anaitwa Dude. Akili mukichwa.
 
Professor amesema maneno muafaka kabisa. Mimi nimemsikia katika speech yake na aliosema yote ndio yanavyotakiwa kudumisha muungano huu. Kwanza ametaja identity za mataifa mawili yalipoungana. Na azmetaka ziheshimiwe nchi mbili ziliopo kwenye muungano sio kuburuzana kama vile upande mmoja hauna haki katika muungano. Pili ametaja wanaotaka kuua muafaka uliopo na chokochoko zinazoendeshwa na CCM kusingizia eti Unguja ndio ilio ungana na tanganyika na eti wapemba ndio walio shika kutaka kuuvunja muungano. Definitely ukisoma vikaratasi na mabango kwenye maskani za CCm utajuawazi ni kuwa wenzetu wa bara wanahamu kuona mpasuko baina ya watu wapemba na unguja lakini kwa bahati mbaya wamechelewa. Sisi wazanzibari tunajuana kwa vilemba kwa hivo mtu wa nje akileta chokochoko zake tunamuangalia tu na iko siku watashughulikiwa. Zanzibar itabaki ni nchi mpaka pale tutakapo amua sio nchi. Haya ni maamuzi yetu wazanzibari na sasa hivi tumeamua kujitambulisha kimataifa kama sis ni nchi kwa hivo tunawapa heshima kubwa wahusika wa mchakato wa katiba waweke mambo sawa vinginevo tugawane mbao. Tuko kwenye ukingo wa maamuzi lazima maamuzi yawe ya kuheshimiana. Viongozi wanajua ni "DECISION TIME" imefika. Tunaendelea kuwaelimisha wazanzibari kuhusu muungano. Wenzetu walifika kortini kutaka kuona mkataba baina ya Nyere na Karume na haukuonekana kwa hivo maadamau haupo ni kuwa muungano pia haupo,. Bye bye tanzania irudi tanganyika. Tanganyika oyeeee!!!!1
 
wewe unajidai tu hufahamu na kuleta kejeli kwa waislamu..

Mimi huwezi kuni-provoke kwa hizo maneno niko above that..

Kwasababu nilianza kusikia hizo ngojera toka nikiwa sekondari..

Waislam Tanzania wana hoja kama ni mpenda haki na mpenda amani utakaa chini nakufanya analysis, ili kama taifa tusije ingia kwenye matatizo..

NB. Kejeli zako hazizuii tatizo ila waislam wanazidi kuwa imara na kuwa wanaharakati day by day..iko siku haki sawa kwa wote itapatikana kwa shari au kwa amani..

USIWASEMEE WAISLAMU NA MANENO YAKO MAKALI DINI INAFUNDISHA UNGWANA KUWA ISLAM SI MCHEZO HAPO ULIPO HATA SUALA 2 HUZIWAZI ITAKUWA SWALA 5!?nyie hamuone wenye uwezo wa kuyasema hayo walo kimya JIBU LAKE NI KUWA "wana elimu" ya Dunia na Dini.
 
Anabwabwaja tu........ Kama ana ubavu aanze na Maalim

Thubutu yake.....nani kakwambia sultani anapingwa?!! Basi tu lakini ingekuwa ni amri yake sasahv angekua keshaua zaidi ya watu ishirini..........latest one angekua ni Hamad Rashid....
Huyu Prof. Kaishiwa hana jipya mvuto nooo.....bora arudi huko huko marekani kwny taaluma yake.
 
... kila mmoja wetu atajisikia ana haki na wajibu wa kuilinda na kuitetea jamhuri.
jamhuri gani?

Mimi sitaki kuwa na wajibu wa kuitetea "jamhuri." Nataka "jamhuri" ivunjike, tena haraka, turudi kuwa na Tanganyika.

Zanzibar ni crippling distraction, it saps the national focus away from addressing more pressing matters. Kila siku Zanzibar, Muungano, Zanzibar, Muungano, Zanzibar, Muungano, yataisha lini haya? Jamani kuna nini huko Zanzibar, karafuu na masamaki ya maji ya chumvi yasio hata na afya kama wa maji baridi?


Zanzibar itabaki ni nchi mpaka pale tutakapo amua sio nchi. Haya ni maamuzi yetu wazanzibari na sasa ... ni kuwa muungano pia haupo,. Bye bye tanzania irudi tanganyika. Tanganyika oyeeee!!!!1
Huyu ni Mzanzibar lakini anasema Tanganyika Oyeee.... yani mpaka Wazanzibar wanatusaidia Watanganyika kupigania nchi yetu Tanganyika, Tanganyika wenyewe tumelala fofofo!!!! Kusema ukweli Wazanzibar wako politically and socially conscious kuliko wabongo, wabongo ni dead men walking. Hata hawajui kuna Muungano, kama alivyosema Jokakuu.
 
Prof Lipumba katoa kali ya mwaka alipokuwa anawahutubia wananchi wa visiwani Zanzibar na kusema wamwogope mtu anayewagawa watanzania kiunguja, kiupemba na kiutanganyika kuwa ahitajiki CUF na aogopwe kama ukoma cha ajabu Jusa naye yupo na kahutubia.

Hivi kweli yanatoka miyooni mwao au ndo ngozi ya kondoo?

Source ITV

Huyo Lipumba mwenyewe ni mdini namba moja! Ndio yeye kipindi kile cha mahita alikodineti uingizwaji wa majambia ili wawaue wakristo. Hana maana kabisa
 
Mfumo Katoliki.

Katoliki ndio baba Katoliki ndio mama. Hata huyo Lipumba akitaka Urais shurti awalambe miguu wakatoliki. Hukubaliani na wakatoliki sahau uongozi popote kwenye dunia ya waliosoma shule. Hili hata Maalim seif analijua
 
Na CDM vipi Mkuu? Chama cha akina nani? Vatikan au....... Kama huyajui kayaulize, mbona sio siri.

Ili ukubalike unatakiwa uikubali Vatcan. Jk alienda mwenyewe kumsalimu papa, na ubalozi wa vatcan bado upo. Mkapa na vatcan ni kama uji na mgonjwa, Mwinyi na yeye aliungua jua mwaka 1990 kumsubiri Papa uwanja wa ndege, Nyerere na papa sina haja ya kueleza. Ni MAGAIDI tu wanaoichukia Vatcan. Nao hata wadhikiri uchi, uongozi wa nchi hii wasahau!
 
Na CDM vipi Mkuu? Chama cha akina nani? Vatikan au....... Kama huyajui kayaulize, mbona sio siri.

Ili ukubalike unatakiwa uikubali Vatcan. Jk na u-alhaji wake alienda mwenyewe kumsalimu papa, na ubalozi wa vatcan bado upo. Mkapa na vatcan ni kama uji na mgonjwa, Mwinyi na ualhaji wake, na digrii zake za Kuran na yeye aliungua jua mwaka 1990 kumsubiri Papa uwanja wa ndege, Nyerere na papa sina haja ya kueleza. Ni MAGAIDI tu wanaoichukia Vatcan. Nao hata wadhikiri uchi, uongozi wa nchi hii wasahau!
 
.........
Huyu Prof. Kaishiwa hana jipya mvuto nooo.....bora arudi huko huko marekani kwny taaluma yake.
Marekani kwa wakristo....hahahahahaaaa! Alafu watu wazima wanadanganywa kuwa KAFU itaondoa mfumo kristo kwa slogan ya haki sawa....thubutuuuuu!
 
Haki sawa kwa wote inawakera sana waliozea kupendelewa!

Poleni tutafika tu, asiyependa Haki aelimishwe

Haujaijua shida ya waislam wala sio wakristo bali ni aina ya mfumo wa maisha na pia ni aina ya mfumo wa imani, ebu rudi katika historia uangalie dini hii ilianzaje kusambaa afrika pia angalia mwanzo wa ukristo afrika na tanzania utakuja kuona kuwa adui wa maendeleo ya waislamu ni mfumo wa uislamu hapo kale, elimu dunia na elimu ahera ni ipi ilipewa kipaumbele? haya yanayokuja sasa ni mabadiliko ambayo hayazuiliki na hii ni baada ya kupata mwamko wa elimu ambayo katika dunia ya leo ndio hasa inahitajika ,Hauwezi kulinganisha idadi ya watumishi serikalini au wanafunzi mashuleni kwa kigezo cha dini zao bali kwa uwezo wao kitaaluma.
 
Back
Top Bottom