Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

Kabla ya hao Maaskofu kutaka kupiga kura ya hapana kwa sababu ya suala la mahakama ya kadhi,huyo Lipumba alishawaambia mapema kabisa wanachama wa cuf kususia huo mchakato wa upigaji kura.

Kwahiyo hakuna cha ajabu hapo.
 
Gwajima tunakutakia kupona haraka. Zab. 34:19 mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Bwana humuokoa nayo yooooote!!!
 
Tutaamini hii ni issue inafaa kupewa uzito kama tutawaona Sheikh mkuu wa Dar es salaam ama Mufti Simba wakienda kumtembelea, Vinginevyo ni porojo tu!

Hivi huyo mtaalamu wa mazingaombwe naye mnamtetea eti kisa anajiita mkristo.
 
Tutaamini hii ni issue inafaa kupewa uzito kama tutawaona Sheikh mkuu wa Dar es salaam ama Mufti Simba wakienda kumtembelea, Vinginevyo ni porojo tu!

Hivi huyo mtaalamu wa mazingaombwe naye mnamtetea eti kisa anajiita mkristo. Alipokuwa anajigamba alisema anawaagiza malaika wamwadhibu Pengo sasa yeye ndiye ameadhibiwa, Aibu ya karne.
 
Kwa kichwa chako unachotumia kufikiri unaona Gwajima kalishwa sumu na police ndio alizimia au unaona alipigwa vilungu ndio akazimia.

Mimi sijasema hayo unayoyasema. Huo ni utoko unaotoka kwenye ubongo wako uliojaa giza la Uovu na udhalimu. Unaandika porojo za gwajima na pengo, na ukishaandika unajisikia umetimiza wajibu wako.
 
Mungu akupe uzima Mtumishi wa Mungu. Ukitoka muombee Pengo aokoke awe mshirika wako Kawe.
 
Hapo Lipumba anamwambia hata ukitoka hospitali ''uzidi kuikataa mahakama ya Kadhi maana haya majitu yanayoitaka hata mie yananiudhi'' uko pamoja baba Askofu. Tangu Lipumba ajiunge na Padri Slaa umwelezi kitu mbele ya mapdri na maaskofu. CUF mpoooooooooooo
 
pona haraka mwanaharakati mkombozi asiteogopa kiongozi yeyote...

si ndo huwa mnampamba hivyo anavimba kichwa kama zuzu na kuanza kuropoka.

kazi yake yeye ni kutangaza injili na si kuanzisha bifu na watu ili apate kusifiwa jf na wanywa viroba.
kama atakuwa bado hajajifunza itabidi mahojiano na polisi ayazoee tu
 
Je! kuna kiongozi yupi wa kidini au mtumishi wa Mungu aliyemtembelea Askofu Gwajima mpaka sasa hospitalini ? Msaada wakuu !

Maaskofu wengi wamekwenda kumtembelea Askofu Gwajima, akiwamo Askofu Mkuu Zachary Kakobe aliyekwenda kumtembelea jana Jumapili saa 11 jioni. Wakati wa utengano wa Wakristo, umepitwa na wakati!
 
Mkuu ''TANZANIA NAKUPENDA'' ninaomba unijulishe ni kitu gani kilitokea kwa baba askofu mpaka afikishwe ICU. Mimi sikupata nafasi ya kujua kilichotokea au anaumwa kawaida?


nipm ntakutumia maelezo ya saut ya jins vle ilikuwa..
 
Maaskofu wengi wamekwenda kumtembelea Askofu Gwajima, akiwamo Askofu Mkuu Zachary Kakobe aliyekwenda kumtembelea jana Jumapili saa 11 jioni. Wakati wa utengano wa Wakristo, umepitwa na wakati!

Huyo kakobe naye ni swala la wakati .Mdomo wake hauna breki.ILa huwa anajitahidi haporomoshi matusi kama Gwajima.
Gwajima kwenye matusi nimekubali ni askofu mkuu.Ana haki ya kujiita hivvyo.Askofu mkuu wa matusi.
 
Back
Top Bottom