Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Habari kamili inafuata
wacha weeewanasia wabongo wanajuana kwa vilemba.
Habari kamili inafuata
Anzisha chako tujiunge wewe usiyekuwa na mauzauzaChadema na vyama vingine vyote vya upinzani vifutwe tu. Chama kipya kianzishwe. Maana naona akina Mbowe, maalim Seif, Lipumba, Zitto, Rungwe, n.k wanatutia mauzauza tu.
Umri wako please na elimu yakoChadema na vyama vingine vyote vya upinzani vifutwe tu. Chama kipya kianzishwe. Maana naona akina Mbowe, maalim Seif, Lipumba, Zitto, Rungwe, n.k wanatutia mauzauza tu.
Mkuu kumbe Lowasa amewahonga kamati kuu ya CCM kupitia Rostam Aziz ili arudi CCMKwa hiyo Lipumba ndio aliamuru Gwajima Na Mbowe wakaihonge Kamati Kuu ya Chadema isihoji zile hoja zao kuhusu Lowassa?
Lipumba alikula mzigo wa kumkaribisha
Akala mzigo wa kujiuzulu
Sasa hivi anakula Mzigo wa kutengua kujiuzulu
Sasa hivi anakumbusha Msemo wake Kuwa Ukawa haikuwa Na Mgombea Urais 2015 isipokuwa ilikodisha Jukwaa lake agombee Mtu Kutoka CCM
U Profesa maana yake Ni kutangulia kuwaza Na hilo kathibitisha Prof Leo Hii waliompigania Lowassa Kwenye Uchaguzi wa 2015 wanaumbuka Kuliko Lipumba aliepiga reverse
Watasema tu kila kitu lakini Lipumba na Mbowe lazima waachie uenyekiti wa CUF na CHADEMA
Mawazo yao yamechoka wapewe damu mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
we hua husikilizwagiWazungusha mikono na wapiga deki barabara, aka makamanda, kwisha habari yao.