Lipumba amtapika Lowassa, asema Aliyeshawishi apewe tiketi ya UKAWA ni yeye, Mbowe alimkataa

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,522
2,000
Kwa hiyo Lipumba ndio aliamuru Gwajima Na Mbowe wakaihonge Kamati Kuu ya Chadema isihoji zile hoja zao kuhusu Lowassa?

Lipumba alikula mzigo wa kumkaribisha

Akala mzigo wa kujiuzulu
Sasa hivi anakula Mzigo wa kutengua kujiuzulu

Sasa hivi anakumbusha Msemo wake Kuwa Ukawa haikuwa Na Mgombea Urais 2015 isipokuwa ilikodisha Jukwaa lake agombee Mtu Kutoka CCM

U Profesa maana yake Ni kutangulia kuwaza Na hilo kathibitisha Prof Leo Hii waliompigania Lowassa Kwenye Uchaguzi wa 2015 wanaumbuka Kuliko Lipumba aliepiga reverse
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,021
2,000
Chadema na vyama vingine vyote vya upinzani vifutwe tu. Chama kipya kianzishwe. Maana naona akina Mbowe, maalim Seif, Lipumba, Zitto, Rungwe, n.k wanatutia mauzauza tu.
 
busha

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,640
2,000
Lowasa alikuja kuvuruga upinzani,,kamaliza kazi kasepa,,,
Slaa alikua njia moja kufanya siasa za kweli lkn mwenyekiti akalazimisha anachoamini yy,,,

Bac tugange ya jayo,,,ila siasa za bongo ni ushenzi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
51,095
2,000
Kwa hiyo Lipumba ndio aliamuru Gwajima Na Mbowe wakaihonge Kamati Kuu ya Chadema isihoji zile hoja zao kuhusu Lowassa?

Lipumba alikula mzigo wa kumkaribisha

Akala mzigo wa kujiuzulu
Sasa hivi anakula Mzigo wa kutengua kujiuzulu

Sasa hivi anakumbusha Msemo wake Kuwa Ukawa haikuwa Na Mgombea Urais 2015 isipokuwa ilikodisha Jukwaa lake agombee Mtu Kutoka CCM

U Profesa maana yake Ni kutangulia kuwaza Na hilo kathibitisha Prof Leo Hii waliompigania Lowassa Kwenye Uchaguzi wa 2015 wanaumbuka Kuliko Lipumba aliepiga reverse
Mkuu kumbe Lowasa amewahonga kamati kuu ya CCM kupitia Rostam Aziz ili arudi CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
21,736
2,000
Lipumba bwana, anataka huruma na support ya CDM maana yupo tia maji tia maji pale CUF.

Maneno anayosema ni ya kweli lakini muda sasa aliyoyatoa duh - yaani kapiga mule mule at righ time - haya wana CDM mnamsupoort ???

Ka mtego hako ka kisiasa...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom