Lipumba Agonga Mwamba Mahakamani Jaji akataa Kufuta Kesi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kutoka Mahakama Kuu '

Jaji Ndyansobera amekataa maombi ya Lipumba na kundi lake kutaka kufuta kesi Namba 28/2017 kama ilivyoombwa na Lipumba ili wapate Ruzuku ya Chama inayofikia shilingi billion moja na million mia nne mpaka July, 2017. Shauri hilo kama tulivyokuwa tukiripoti kwa usahihi na kukemea upotoshaji wa baadhi ya vyombo vya habari khusuani muandishi Upendo Michael wa Azam TV. Ndilo linalohusu zuio la ruzuku ya chama kutolewa.

...
The court order must not be given by implications,............... Rejeeni kauli hii

Mbarala Maharagande
NMHUMU
 
Kwa sababu ya agenda iliyobebwa na wakubwa kuufuta ukawa, atafanikiwa tu, ila siku moja atapata malipo ya uovu kutoka kwa Mungu
 
Back
Top Bottom