Lips kukauka na kutoa magamba

Mtuflani

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
323
75
Habari Wadau. Nna tatzo toka nmezaliwa lips zangu zinakauka na kutoa magamba hivyo inabidi niyatoe kwa kukwangua na mkono au kung'ata lips. Je kuna dawa ya kutibu hii kitu coz inanikera kwa kweli.
 
Pole kwa tatizo... Kama mdau mmoja alivyopendekeza inawezekana ikawa ni upungufu si tu vitamin C bali inaweza ikawa vitamins kadhaa na madini.. Ukipata multivitamins na mineral supplements itasaidia.. Pia uwe unatumia lip bam kila wakati ili kuzuia kukauka na kutoka magamba
 
Ahsante. Hizo multivitamins na mineral supplements naweza zpataje ?
 
Tuna brands za vitamin c ni nzuri kuliko zote zilizopo sokoni saiv zinaitwa absorbent c, zina mchanganyiko wa oat bran inayofacilitate absorption ya vitamin c ina vidonge 100 inauzwa 28,0000. Pia tafuta lip balm inasaidia sana kwa tatizo lako niliyo nayo inauzwa elf 7 ni kiwango cha kimataifa na itakusaidia. Ukihitaji ntafute 07 (52) 15 720276 kwa voda na tigo Thanks.
 
Ahsante sana. Hiyo lip bam ikoje sio ya kike kweli ? BTW nitatakiwa kumeza hizo vitamins kwa mda gani ?
 
Back
Top Bottom