Lips kavu na zinazopasuka

Kunywa gongo mara tatu kwa siku alafu unapakapaka kwenye lips hii dawa ilinisaidia sana

wacha weeee! anywe kiroba original.joking!!
mkuu paka o live oil au vaseline usiku ulalapo, ni ishu ndogo.
 
Back
Top Bottom