Lips kavu na zinazopasuka

super thinker

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
370
109
Nauliza, hivi lips kavu na zinazopasuka pasuka ni ugonjwa???

Na kama ndio, nn tiba yake??
 
napiga sana maji Babkey but naona cku znavyozd kwenda znazd kuwa kavu!!
 
Last edited by a moderator:
dah hata mimi hii shida imeisha juz juzi tu....embu kwa wanofahamu watujuze....
 
kunywa maji mengi. pia asali kidogo mix na sukari thn unafanya km una massage lips zako kw muda alafu unafuta.. me ilinisaidia sana hii pia paka vaseline or olive oil wakati w kulala
 
Tafuta dawa ya minyoo unywe,hiyo ni minyoo tu mkuu...
Mara ya mwisho umepata lini dawa ya minyoo?
Changamka,pata dose ya minyoo,utaona mabadiliko makubwa baada ya siku kadhaa!
Mimi sio doctor,lakini nlikuwa na tatizo hili,baada ya kuitumia ile dawa,tatizo hilo likaisha!
Jaribu bahati yako!
 
Mkuu nashkuru, na kweli nina muda sijanywa ile dawa asee........ngoja niwahi, thanks
 
Tafuta dawa ya minyoo unywe,hiyo ni minyoo tu mkuu...
Mara ya mwisho umepata lini dawa ya minyoo?
Changamka,pata dose ya minyoo,utaona mabadiliko makubwa baada ya siku kadhaa!
Mimi sio doctor,lakini nlikuwa na tatizo hili,baada ya kuitumia ile dawa,tatizo hilo likaisha!
Jaribu bahati yako!

Inaitwaje hiyo dawa mkuu nami nina hili tatizo aiseee!
 
Hili tatzo kwel hata mume wang lnamsumbua sana. Mpaka namuonea huruma. Hata sielewi jins ya kumsaidia
 
Loh, sisi ukoo wetu wote tunalo, sio inheritance kweli? Manake mpaka watoto wangu wanalo!
 
Nilikuwa na tatizo hilo pia but Aloe Lip ilinisaidia sana na now vizuri kama sijawahi kubabuka midomo.
 
Kunywa gongo mara tatu kwa siku alafu unapakapaka kwenye lips hii dawa ilinisaidia sana
 
Back
Top Bottom