lipi ni sahihi?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Umeoa/umeolewa ushauri , mawazo au maelekezo yapi ni ya kuya fuata? unayopewa na mmeo/mkeo au wazazi? na kama mwenzi wako anafuata sana yale anayopewa na wazazi kulioko ya mmewe/mkewe je yupo sasa hihi? na kama hayupo sahihi wewe kama mme/mke ufanyeje?

Naomba mawazo yenu wana JF!!!!!!!!!
 
umeoa/umeolewa ushauri , mawazo au maelekezo yapi ni ya kuya fuata? Unayopewa na mmeo/mkeo au wazazi? Na kama mwenzi wako anafuata sana yale anayopewa na wazazi kulioko ya mmewe/mkewe je yupo sasa hihi? Na kama hayupo sahihi wewe kama mme/mke ufanyeje?

Naomba mawazo yenu wana jf!!!!!!!!!

a &b yote ni majibu sahihi
 
kila mtu atakupa maelekezo lakini wewe unatakiwa utumie akili yako kuya changanua...
uchukue yale tu unayojua unayahitaji nayatakusaidia hayajalishi nanani kayasema......
 
Umepewa utashi wa kupambamnua na kuamua mabo.... Utumie...kuwa msikilizaji mzuri ila mwenye busara ya maamuzi!!
 
kila mtu atakupa maelekezo lakini wewe unatakiwa utumie akili yako kuya changanua...
uchukue yale tu unayojua unayahitaji nayatakusaidia hayajalishi nanani kayasema......

Sawa lakini ikatokea kwa asilimia 90 unafuata unayoambiwa na wazazi si ina maana mmeo/mkeo hana haja ya kuwa naye na pia kila analokuambia mmeo/mkeo kuhusu hayo mawazo uliyotoa kwa wazazi huambiliki unashikilia hayo hayo, kweli hii ni ndoa sahihi?
 
ni sawa kabisa kusikiliza wazazi wako lakini kuna umri unafikia unatakiwa uanze kutembea kwa miguu yako mwenyewe...
na kama uki oa/olewa ni wewe na mwenzio mnatakiwa mnajadiliana na kuchandiana mawazo na si wewe na wazazi wako..
na unatakiwa ujaribu kupunguza ambayo wazazi walikwambia na ujaribu sana ku mwelewa mkeo/mumeo....
kwani unatakiwa ukue kimwili na kiakili ....kwasababu kama Mungu akikujalia muda si mrefu na we utakuwa mzazi...
 
Back
Top Bottom