kiboksi manyoya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 377
- 311
Imezoeleka kuwaita watoto waliozaliwa kinyume na taratibu za ndoa kuitwa watoto wa nje ya ndoa, je watoto wanaozaliwa na mama ambaye yuko kwenye ndoa lakini kazaa na mchepuko bila mmewe kufahamu wataitwaje?