Lipi Bora?

Masaki

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,463
752
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.

Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?
 
its friday bana unakuja tena na hizi kitu zitaharibu mood..

Mweee Masaki hakuna lililo bora hapo, lakini hilo la hubby kuliwa jamani ntakufa sekunde kadhaa baada ya kugundua......
 
Na kama hubby anakula dume jenzie?
 
Binamu kwani haya nayo ni mambo magumu magumu? Mbona naona ni mepesi mepesi tu yanafaa kwa Ijumaa jioni! :)
 
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.

Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?
hilo ni bora sana kwa mwanamke(MKE WA MTU)
 
Binamu kwani haya nayo ni mambo magumu magumu? Mbona naona ni mepesi mepesi tu yanafaa kwa Ijumaa jioni! :)

wepesi uko wapi hapo Masaki!!?? mume wangu anatendwa na mwanaume mwenzie??

pagumu sana hapo bana tena usiseme.........
 
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.

Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?

We ni mwanaume au mwanamke? icje kkua ni ww!
 
Yesu wangu Iribini naomba tuishie hapo bana!!!!
Chagua moja ambalo ni afadhali hapo:
Mumeo kumega mwanamke
Mumeo kumegwa na dume jenzie
Mumeo kumega dume jenzie
Usikimbie kivuli mamushka! Jibu fasta nataka kuwahi kaunta.
 
sitaki hata moja hapo lakini intensity ya mshituko ntakaopata kwenye red si sawa na hayo mengine (i will die)

nipitie tuende wote, ila mie naenda kwa Mama Matesha
 
Na kama hubby anakula dume jenzie?
JIBU SAHIHI NI HILI:
HILI NALO ni bora sana kwa mke mwenye ndoa yake!
bht ameniuliza:
Goeff unamaanisha????
mimi nimeshindwa kumjibu,kwasababu kiongozi wa msafara ameshamaliza kazi.bht jibu HAPA:
Chagua moja ambalo ni afadhali hapo:
Mumeo kumega mwanamke
Mumeo kumegwa na dume jenzie
Mumeo kumega dume jenzie
Usikimbie kivuli mamushka! Jibu fasta nataka kuwahi kaunta.
kiongozi hebu pitia chawote nikupe bia
 
kama ni lazima atoke..basi atembee na mwanamke mwingine hiyo ni ruksa.....from the bottom of my heart
 
Dah! And what if ukigundua kwamba wife anasagwa na mwanamke mwenzie?
Ahaaa! Easy:
Ni hivi:
Wife asage mwanamke mwenzie? Kwangu poa tu!
Wife asagwe na mwanamke mwenzie? Kwangu Poa tu!
Wife amegwe na dume? Huyo dume ataliwa tigo afu talaka inafuata!
Wife aliwe tigo na dume?? Wife anarudi kwao akiwa kilema (kama tuna watoto) Adhawaiz anatangulia mochware na jamaa lake nami namfuata babu Seya Segerea.
Mwisho Wa Ufafanuzi
 
Back
Top Bottom