Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 752
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.
Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?