Lipi bora, kuwa mkimya au kuongea kwenye hizi ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipi bora, kuwa mkimya au kuongea kwenye hizi ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by carmel, Jan 18, 2011.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kila siku nashangaa sana, kipi ni sahihi, kwenye mahusiano ya ndoa. Kwa upande wa kina mama, ni lipi jema, kuongea kila kinachoukwaza moyo wako kuhusu mwenendo mzima wa mwenzio na utaratibu wake mzima wa maisha yake na yenu kama ndoa, au kuwa mkimya, kutojali, na kuacha kila kitu kiwe kinavyokuwa. Kwa nini nasema hive, tukiongea sana tunaonekana walalamishi, hatuappriciate, tunapenda kukosoa n the like.
  Swali linalonisumbua ni kwamba wanaume manapenda tuwe wakimya? tusijihusishe kwenye mambo ambayo tunaona hayaendi sawa?
  Nionavyo mimi ni bora umuache mtu awe free kuongea ili ujue anawaza nini, lakini ukitaka mtu awe mkimya hutajua moyoni kwake kuna nini na mahusiano yatapooza maana ni kama umechoka na umegive up.
  Watch out coz when a woman is fed up, there is nothing that can be done to undo the harm.
   
Loading...