Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Habari wanajamvi?

Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.

Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa wateja wa Vodacom nikamuua kwenda kutafuta ya Vodacom.

Nimepata ila ni upuuzi tu, wana makato makubwa kuliko hata kutoa kwa wakala. Yani kama una lipa kwa mpesa mfanyabiashara utapa hasara badala ya faida.

Hongereni sana Tigo kwa ubunifu.
 
Habari wanajamvi? Mm niko powa kabisa,mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.

Huduma toka tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana,baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa wateja wa Vodacom nikamuua kwenda kutafuta ya Vodacom.

Nimepata ila ni upuuzi tu,wana makato makubwa kuliko hata kutoa kwa wakala. Yani kama una lipa kwa mpesa mfanyabiashara utapa hasara badala ya faida.

Hongereni sana tigo kwa ubunifu.
Lipia tangazo mkuu
 
Kweli kabisa lipa kwa simu ya tigo iko juu sana compared na lipa kwa mpesa, ninazo zote mbili ila hata wateja wa Voda nawashaur walipe kwenye tigo tuu
Vip ya m-pesa umeconect na bank au unatoa kwa wakala baada ya malipo?
 
Habari wanajamvi? Mm niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.

Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa wateja wa Vodacom nikamuua kwenda kutafuta ya Vodacom.

Nimepata ila ni upuuzi tu, wana makato makubwa kuliko hata kutoa kwa wakala. Yani kama una lipa kwa mpesa mfanyabiashara utapa hasara badala ya faida.

Hongereni sana Tigo kwa ubunifu.

Wameanza lini huo utaratibu wa kutokata hela wakati wa kutoa!?Hizi lipa kwa tigopesa au mpesa,kuchanja kwenye mashine za bank ni hasara kwa mfanya biashara maana kuna makato.

Nenda tigo shop leo waambie unataka kulipia kwa lipa namba uone watakavyo kuambia namba yao inasumbua fanya kutoa kwa wakala,unadhani kwa nn!?
 
Ni kweli ila naona ya tigo imekaa powa kidogo kuliko ya Selcom na m-pesa. Kwa watumiaji wa lipa ya Tigo kutoa kwa sasa hakuna makatoa kabisa
 
Back
Top Bottom