huku ndıo kunako kufaa ndugu MaxShimba sio kule kwenye mambo ya Dini unakopenda kutukana Dini za wenzako ukiwa mtu wa huku mimi nitakuwa Rafiki yako mpendwa na kukuunga mguu sio kusema ovyo ovyo dini za wenzako asante kwa klipu zako.

Kuna huu wimbo wa Nothing else matters, kwa kweli unaniuwa sana. Ila hamna video yake na mie sina muda wa kuuweka kwenye youtube. Ila kuna audio nimeweka hapo chini link.
Ngoja niwaachie huu wimbo mwingine ambao nao huwa unanimaliza saana.
NB: Jamani kuna album mpya ya boyz II men, muwahi mchukue ni kali sana hasa wale watu wa Old school.
http://mp3.xalo.vn/nghebaihat/305706792565/Nothing-Else-Matters~Lionel-Richie.html
http://www.youtube.com/watch?v=tEUP8uVwvBw