Lionel Messi agundulika kuwa na tatizo la Figo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amegundulika kuwa na tatizo la figo baada ya kufanyiwa vipimo vya afya.
Hili ni pigo kwa wapenda soka wote duniani,
 
5befa475ade825da29cb7a76dbbffedd.jpg
[/IMG]
 
unapoongelea Messi unagusa maisha ya watu wengi duniani habari yako iandike vizuri
 
"Kidney stones" ni tatizo linalotibika bila kuhitaji figo nyingine. Ingekuwa "kidney failure" hapo ingekuwa habari nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom