Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Dakika ya 28 ya mchezo kati ya Barcelona na Betis imeshuhudia Lionel Messi akiandika REKODI MPYA YA DUNIA kwa mchezaji wa mpira wa miguu kufunga mabao mengi katika mwaka mmoja.
Bao la pili la Messi katika mechi hiyo linamfanya afikishe mabao 86 kwa mwaka 2012 na kuivunja rekodi ya Gerd Muller wa Ujerumani aliyefunga magoli 85 mwaka 1972.
Najua wapenzi wa Christina Shusho....ah no, I mean Ronaldo mtakuwa mmejiunga na Pele wa Brazil kununa.