Lion killed in Mbagala, Dar es sallam

Mbagala na Mkuranga jamani si mbali na si mnajua hii hali mbaya ya inflation/economic crisis zimeikumba mpaka mbuga zetu huko wanyama wanahama hama kutafuta malisho na maji so simba wamejikuta wakisogea karibu na makazi ya watu kufuata mbuzi, kondoo ng'ombe na sometimes BINADAMU
Haswaaaaaa!
 
Tuwe serious hii nchi imewashinda CCM how cum Simba anakuwepo dar,nimekuwa najiuliza hizi Zoo mara Kigamboni,Tegeta siwezi elewa vibali wanapewaje na inawezekana Simba ametoka kwenye hizo sehemu walipohifadhi wanyama pori.KIKWETE SHAME ON YOU.
 
Back
Top Bottom