Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

I like Linux and its best compared to Microsoft windows kwangu mm natumia Kali linux i think is the best of Kali family
 
First naiona hii os nliipenda japo ilkua ngum kutumi nnampango ss wakuiweka kwny pc yang uku nkiendelea kujfunz vtu vng huu uzi umenifaa san mkuu

ⓑⓐⓓⓨ
 
Wazee wenzangu wa Linux mint naombeni mnijuze jinsi ya kudownload video youtube kwa kutumia program ya Uget
 
Gnome keyring hii kitu nilijikuta tu nimeiset sasa inanitesa. Password niliyoiweka inaniambia siyo sahihi, nataka kuiondoa kabsa au niweze kurecover password yangu. Msaada please kwa wajuzi wa linus (edubuntu 14.04 LTS)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
413b919a8b21a6e97081e00266dfbdea.jpg
 
Unaweza ku-download Youtube videos kwa kutumia Minitube,ingia Ubuntu software search for Minitube download it

haujaelewa swali mkuu!
Hapo swali siulizi kuhusu Youtube downloader bali nauliza kuhusu muonekano(Theme) wa Ubuntu kwenye Hiyo video aloweka!
 
Unaweza ku-download Youtube videos kwa kutumia Minitube,ingia Ubuntu software search for Minitube download it
haujaelewa swali mkuu!
Hapo swali siulizi kuhusu Youtube downloader bali nauliza kuhusu muonekano(Theme) wa Ubuntu kwenye Hiyo video aloweka!
Poa mkuu nilikuwa sijaufahamu,ninachoona mimi ni windows katika hii desktop sio themes bali"Activities" zote ulizofungua kwenye desktop yako,,,,sifikirii kama hiyo unaiyona ni "Themes" hizo ni activities alizofungua jamaa ambazo ziko kwenye desktop yake.... Ubuntu 17.04 kama sikosei kwenye browser juu upande wa kushoto kuna maneno yameandikwa "Activities" ukiponyeza hayo maneno utapata windows yenye activities zote ulizozifungua...

Anyway mkuu huyu jamaa anatumia firefox website hiyo unazona ni mwanzo wa page ya firefox,hizo ni wesite zote alizoingia katika firefox...:D
 
Jamani kuna mwenye dictionary ya kwenye linux maana nilizoea oxford ya windows na kwenye linux haipo!!

Natumia linux mint kama kuna mweye command code za dictionary anisaidia wajameni!!

Njunwa Wamavoko chabuso deojames
Jaribu hizo code kwenye Terminal, mkuu
sudo add-apt-repository -y ppa:upubuntu-com/edu
sudo apt-get update
sudo apt-get install aarddict

halafu itafuta dictionary kwenye Dash
 
Natumia Mint 17 haikubali ku update Firefox kwa maana hiyo video za Youtube haziwezi kufungua.
Msaada wadau.
 

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom