Link ya Kucheki Foleni za Dar Updated

junior05

Senior Member
May 3, 2011
186
46
Wakuu kwa wale waliokosa kaujanja ka kukwepa foleni za Dar, Just fungua web hii www.foleni.com then utaselect maeneo mbalimbali na kujionea jinsi foleni husika na real movements kwenye roads, the link now updated with many locations in Dar
 
Nampa pongezi kwa aliyefanya hivi..ila ilikuwa inatakiwa kuona real video jinsi gari zinavyokwenda na siyo kususbiri picha..nadhani pia hakuna camera za barabarani hilo pia linachangia..
 
Niuongo ukichunguza kitaalam hizi nipicha zimepigwa kitambo nakupachikwa
 
hii ni trick tu hakuna ukweli wowote hapo, bongo gps yenyewe utata sembuse uniambie hizi picha ambazo sijui zimetengenezewa java scripts au jsp. Huu ni uongozi mi sidanganyiki hata kidogo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom