Endelea kutupa updateStill 1~0
Duh! Tanzania tuna gundu gani?3~0 tayari ni wazi safari yetu kuelekea kombe la dunia imeish.. ila mpira unaendelea
All in all Uganda wana team nzuri Sana sijui kwanini tunashindwa kuwaiga Hawa majamaaDalili za kurudisha hakuna.